Nina tangawizi iliyo shambani, imekomaa vizuri. Shamba ni heka 1. Kwa mteja aliye tayari kwa bei ya 3,000ths /kilo, tuwasiliane ili mavuno yafanyike.
0765101107
habari za leo. Kwa yeyote ambae ni mkazi wa arusha anaefahamu sehemu ambapo kunauzwa viwanja naomba anijulishe. Asanteni ningependa zaidi kama mtu atanipm
Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa maarufu kwa jina la Baucha akizungumza katika hafla ya kupata futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo mwishoni mwa juma mjini...
Simu mupyaaaa kabisa ina week tu ni Tecno w5 kwa bei ya sawa na bureeeee nipe 200k tu nakuachia au Kama kuna mtu ana Tecno w3 basi tubadilishane aniongezee mkwanja nimepata ka-emegerncy kidogo...
Habr wanajamvi, naomba kujuzwa gharama za kupiga picha kwa picha chache na nyingi na kwa size ya
5 by 7
6 by 8
8 by 12 (A4)
Kwa zile ambazo hazija editiwa na zile za kueditiwa. Asante sana
Wadau habari za majukumu.
Nauza kitanda cha mninga 6*6 na godoro lake.
Vyote ni vizima kabisa na kitanda uzito wake ni 120 kg cha mbao nene.
Godoro nch 6 zima kabisa lina miezi 9 tu tangu...
Tunatoa huduma bora za massage ndani ya Lamada Hotel & Apartments
Mbali na huduma za massage tunazo bidhaa zenye ubora na kiwango kikubwa katika kuponya maradhi sugu,baadhi ni
1.Ukosefu wa nguvu...
Habari,
Nyabiri tiba asilia ni kituo kinachotoa huduma za matibabu kwa kutumia dawa zinazotokana na mimie. dawa zetu ni za asili hazichanganywi na kemikali yoyote na ni dawa za uhakika.
Tunacho...
Hii juice dispenser unauzwa ni used kidogo ila bado inafanya kazi.naiuza sababu nina shida na pesa, wanemaga chako ndo kinakusaidia
Bei yake ni laki tano tu (500,000)
ila punguzo lipo. mpya...
Habari wakuu,
Bila kuwachosha sana napenda nitangaze ofa yangu, nnahitaji gari ya bei kuanzia 3-5M, ila kwa sasa mfukon nna 3M Cash. Kama una gari unaiuza ipo ndani ya Bajet tajwa hapo juu na upo...