Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu habari zenu Natafuta spea ya Sony Hometheatre, kifaa ninachotafuta ni zile gia nyeupe zinazozungusha CD na kusapoti mlango ufunguke. Katika Hometheatre yangu zimevunjika zote 3. Mwenye...
1 Reactions
1 Replies
301 Views
Leo tumefanya Generator installation kwenye kiwanda kimoja hapa Dar. Pia tunatengeneza Upande wa Engine pamoja na Kusuka vinu yaan Motor and Ac Alternator Rewinding. Tunapatikana Tabata Relin...
3 Reactions
9 Replies
522 Views
Nauza eneo langu, lipo Kigamboni Mwasonga heka mbili BEi: 15 million Halijapimwa, lina document za mauziano za serikali ya mtaa Linafaa kwa kukata viwanja, kilimo, ufugaji, makazi n.k Hyo barabara...
4 Reactions
58 Replies
3K Views
Piga 0746373222...Je,umechoka kusumbuliwa na vibaka na WIZI wanaoruka fensi YAKO na kuja kukuibia ndani ya NYUMBA? Je,umechoka kuwa na NYUMBA yenye fensi lakini fensi hiyo haikusaidii kuzuia WIZI...
1 Reactions
0 Replies
353 Views
Habari wakuu.... Nahitaji godoro liwe 5*6 kuanzia inch 8 na kuendelea. Mahali linapohitajika:Unguja Zanzibar Bajeti Iko vizuri wewe taja bei kulingana na ubora. Air cooler inayotakiwa ni Orient...
1 Reactions
6 Replies
518 Views
Wakuu Nanunua Computer zilizotumika/kuharibika iwe Laptop au Desktop kama spare Wasiliana nami kwa 0767953873
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari wadau, nauza acoustic guitar kama linavyoonekana kwenye picha hapo, lipo vizuri na linapatikana mbagala kuu. Kwa mwenye kuhitaji anaweza kuni PM bei ni 140k . Asanteni
0 Reactions
4 Replies
531 Views
House For Sale. Location: Msasani Near Dar Villa, Misitu St. Features: 1 storey, 4 bedrooms, 4 bathrooms, public toilets, Kitchen, Laundry, Dining, Sitting, Store, water tank, and servant's...
2 Reactions
8 Replies
649 Views
Nahitaji pikipiki iliyotumika moja kati ya nilizotaja hapo juu. Iwe namba D/E... Ile ya matumizi binafsi (namber plate ya njano) itapendeza zaidi kwa mwenye nayo.
1 Reactions
1 Replies
280 Views
zote kwa pamoja 350,000tsh Location Mawasiliano ubungo Call 0698248323 ✅kubwa peke ake 200k ✅ndogo 150k wahi tumalize biashara.🙏
1 Reactions
0 Replies
253 Views
Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Mbiu. Sifa za Nyumba: *Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga. *Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
mfumo wa VFD SYSTEM ni mfumo wa utoaji receipt za tra ambao ni mpya na ushaanza kufanya kazi Tanzania ambao mfumo huu mfanya biashara ataunganishiwa kwenye simu yake au computer kwa kufanya...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Kwa mwenye nayo na yenye nyaraka halali naomba anicheki inbox tuyajenge. Shariti iwe TVS hlx 125, Haujue express 125 au honda cb 125. Yenye usajili D/E... njano itapewa kipaumbele zaidi.
0 Reactions
0 Replies
312 Views
  • Poll Poll
Mitsubishi Canter (EHP) Tani 2.5 Inauzwa TZS. 35m . Full AC 2830cc Manual Diesel Gari ni mpyaaa . Bei: TZS. 35m . 0717 650800
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Ndugu wa Wana Jamii forams, habarini za za Leo? Kama nilivyo taja hapo juu , eneo liko Makambako. Km 12 Toka stand kuu y a Makambako. km 4toka barabara ya kuelekea Songea. Ukubwa acre 4 Bei...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna mashamba matatu ya miti ya Mbao jamii ya pines ( pinus patulla), miti ina umri wa miaka 12 na 13. Miti hii iko kijiji cha Chogo Mufindi, ni 100km toka Mafinga kwa njia ya Ibwanzi, au 120km...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa Mbeya mjini sq 1500. Ina vyumba vinne vya kulala, vyumba 2/self contained room, jiko sebule na stoo. Pia kuna vyumba 5 vya nje na jik
1 Reactions
6 Replies
616 Views
Nyumba Inauzwa Tabata. Mahali: Misewe B, Liwiti. Sifa za nyumba: • Ina vyumba vya kulala 3 na master 1. • Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, Jiko na stoo. • Ina korido kubwa ya ndani na...
2 Reactions
7 Replies
620 Views
Back
Top Bottom