Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tank la maji linahitajika kama kichwa cha habari kinavyoonyesha.
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Plot Available For Sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road (Kibada road). *It's near to box factory (Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam zoo...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
TUNAFUNDISHA MASOMO YOTE, KWA A LEVEL NA O LEVEL. KWA WALIO MBALI NA DAR ES SALAAM, HOSTEL ZIPO. KARIBUNI. 0625012562 0782044028. TUPO TEGETA, DAR ES SALAAM. MASOMO; PHYSICS CHEMISTRY MATHEMATICS...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Mahali: Tegeta Nyuki, Dar es Salaam Hosteli zinapatikana kwa walioko mbali na Dar es Salaam Masomo Tunayofundisha: Sayansi: Physics, Chemistry, Biology, Mathematics Lugha: English, Kiswahili...
1 Reactions
2 Replies
471 Views
G.F 4BEDROOMS LOUNGE KITCHEN DINNING F.F MASTER BEDROOM +OFFICE + FAMILY ROOM. +255624004650
1 Reactions
2 Replies
276 Views
Habari naitwa Rashid kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye...
1 Reactions
0 Replies
290 Views
Kwanza tuelewane. Kifaa hiki kinamzuia mtu asiweze kuwasha Chombo chako cha moto na kuondoka nacho unless akipakie au akikokote. Chombo chako cha moto ikinafungwa switch secretly na wewe unakuwa...
8 Reactions
15 Replies
3K Views
Namshukuru Mungu kwa neema zake nimehamia kwangu. Changamoto ni ka usafiri kangu kanalazwa nje! Nilikuwa naomba mwenye kujua bei ya "alarm system" ya kupiga makelele kwa saana mtu akiigusa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Jipatie mashine ya kupukuchua na kusaga karanga inayotumia umeme kidogo. Ni kwa wajasiriamali wanaopenda kupanua fursa zao , hii mashine inauwezo wa kukupukuchulia karanga zilizokaangwa na kusaga...
1 Reactions
4 Replies
567 Views
Jipatie mashine ya kupukuchua na kusaga karanga inayotumia umeme kidogo. Ni kwa wajasiriamali wanaopenda kupanua fursa zao , hii mashine inauwezo wa kukupukuchulia karanga zilizokaangwa na kusaga...
0 Reactions
0 Replies
514 Views
habari zenu wakuu nahitaji gari aina ya ist bajeti yangu 6.5 nikipata direct kutoka kwa muuzaji itapendeza zaidi maana najua mambo ya ma dalali 0745906009
2 Reactions
5 Replies
453 Views
WE DO CONSTRUCTION AND DESIGN SERVICES CALL/WHATSAP US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
1 Reactions
1 Replies
322 Views
Habari wana jf...hizi tv hapa pichani zinauzwa..bado mpya hazina shida yeyote rising inch 39 ni tsh 300000 tu Boss smart tv inch 43 ni tsh 450000 tu kwa mawasiliano 0627474141 au 0773474141...
1 Reactions
4 Replies
848 Views
Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena...
17 Reactions
231 Replies
13K Views
Kiwanja kipo kibaha, hati ipo, kimelipiwa serikalini kwa control number hakuna dalali wasiliana 0764 714 801.
3 Reactions
7 Replies
470 Views
CALL US +255624004650 TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM SINZA
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Nyumba inauzwa mil 20 Banana Elewa neno banana yaani ni mjini kabisa kutoka airport hadi kwako dk 15 tu yani uko mjini Ina vyumba 3 vya kulala 1 master bedroom 2 Normal rooms Seble Dinning...
6 Reactions
64 Replies
4K Views
Ni kawaida kwa sasa hivi kukutana na TV na ukaambiwa hii ni double glass ni TV ya aina gani Double glass ni TV ambayo I akioo cha kawaida na ina-kingine chepesi ambacho kipo juu yake mfano...
0 Reactions
1 Replies
438 Views
Habari zenu. Nahitaji anayeuza kati ya gari hizi Ani pm tufanye biashara 2007 Nissan xtrail 2005 Suzuki grand Vitara Nissan dualis
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Naulizia anayetoa pikipiki ya mkopo, niko mkoa wa kagera, wilaya ya Muleba. Nina vigezo vyote na nastahiri na nina uwezo wa kulipia kwa wakati. Napatikana Muleba kamachumu niko serious, namba...
1 Reactions
1 Replies
234 Views
Back
Top Bottom