Habari naitwa Rashid
kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta,
Nina ingiza Data kwenye...
Kwanza tuelewane. Kifaa hiki kinamzuia mtu asiweze kuwasha Chombo chako cha moto na kuondoka nacho unless akipakie au akikokote.
Chombo chako cha moto ikinafungwa switch secretly na wewe unakuwa...
Namshukuru Mungu kwa neema zake nimehamia kwangu.
Changamoto ni ka usafiri kangu kanalazwa nje!
Nilikuwa naomba mwenye kujua bei ya "alarm system" ya kupiga makelele kwa saana mtu akiigusa...
Jipatie mashine ya kupukuchua na kusaga karanga inayotumia umeme kidogo.
Ni kwa wajasiriamali wanaopenda kupanua fursa zao , hii mashine inauwezo wa kukupukuchulia karanga zilizokaangwa na kusaga...
Jipatie mashine ya kupukuchua na kusaga karanga inayotumia umeme kidogo.
Ni kwa wajasiriamali wanaopenda kupanua fursa zao , hii mashine inauwezo wa kukupukuchulia karanga zilizokaangwa na kusaga...
habari zenu wakuu
nahitaji gari aina ya ist bajeti yangu 6.5
nikipata direct kutoka kwa muuzaji itapendeza zaidi maana najua mambo ya ma dalali 0745906009
Habari wana jf...hizi tv hapa pichani zinauzwa..bado mpya hazina shida yeyote
rising inch 39 ni tsh 300000 tu
Boss smart tv inch 43 ni tsh 450000 tu
kwa mawasiliano 0627474141 au 0773474141...
Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001.
Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa.
Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena...
Nyumba inauzwa mil 20 Banana Elewa neno banana yaani ni mjini kabisa kutoka airport hadi kwako dk 15 tu yani uko mjini
Ina vyumba 3 vya kulala
1 master bedroom
2 Normal rooms
Seble
Dinning...
Ni kawaida kwa sasa hivi kukutana na TV na ukaambiwa hii ni double glass ni TV ya aina gani
Double glass ni TV ambayo I akioo cha kawaida na ina-kingine chepesi ambacho kipo juu yake mfano...
Naulizia anayetoa pikipiki ya mkopo, niko mkoa wa kagera, wilaya ya Muleba.
Nina vigezo vyote na nastahiri na nina uwezo wa kulipia kwa wakati.
Napatikana Muleba kamachumu niko serious, namba...
Ni kawaida unapotaka kununua freezer ukakuta wanasema hii freezer ni non frost au defrost maana yake ni nini na zipi ni faida zake kwa kila moja
Non frost
Hii ni freezer ambayo haigandishi yaani...
Katika Darasa letu, mwendelezo wa mafunzo yetu kuhusu ufugaji wa ng’ombe wa maziwa kibiashara. Katika somo letu lililopita, tulizungumzia kuwa ng’ombe bora wa maziwa anaweza kutoa 🥛 lita 15 hadi...
Specification zake
1.size 48*38*78
2 voltage 220/50hz
3. Three crushing rollers
4.material
(Stainless)
4. Ipo na 3HP electric motors.
5. Uwezo 300kg kwa saa.bei 1,400,00
Ipo mtoni kijichi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.