Habari zenu wakuu, nimevuna alizeti yangu kama gunia 40, sasa naomba kufahamu kama ntaruhusiwa kwenda kuuza nchini kenya ambako bei nasikia nzuri nisije nikafika namanga nikapigwa stop, maana siku...
Make : Toyota
Model : Premuo(ZZT240)
Mileage : 99,100km
Engine size: 1,790cc (1ZZ)
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
Drive :
M/Year ...
Make : Toyota
Model : Ractis (NCP100)
Mileage : 64,196km
Engine size: 1,500cc (1NZ)
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
Drive :
M/Year ...
Make : Toyota
Model : Ractis (NCP100)
Mileage : 64,196km
Engine size: 1,500cc (1NZ)
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
Drive :
M/Year ...
Habari wadau,
Kuna Tovuti nili I design kwa Lengo la kuifanyia kazi ila naona nita kwama kwa kukosa muda wakuifanyia kazi kwani nimepata ajira sehemu.
Feature:
Self hosted Blog/Website
Unlimited...
Jamani natafuta soko la kuuza karanga
Msaada wanaojua bei nzuri ya Karanga kwa soko la sasa ni shingapi? na Msaada mwingine kunifanyia connection na Diamond Karanga nimuuzie hizi guniaa
Gari ipo Japan na inachukua siku 30 kufika pindi unapo agizia na hiyo gharma ni GHARAMA KAMILI PAKA GARI LINAKUFIKIA MKONONI IKIWA NA KILA KITU KASORO BIMA na pia hamna gharama zozote zitakazo...
Akai Company Limited, we provide affordable clearing and forwarding services. Contact us 0766734429
or visit us at ushirika tower 11th floor
Sent from my SM-A7100 using JamiiForums mobile app
Habarini..
naomba mwenye uelewa na hii biashara anipe mwanga...
natarajia kuanza biashara ya kuchukua vitu vidogovidogo Dubai na kuleta nchini..
je,
-Gharama ya usafiri ipoje?(mtu binafsi)...
[emoji412] *TEAM* *SOLUTION* *CONSULTATION* [emoji412] KWA HUDUMA NA (NYARAKA MBALIMBALI)
-BUSINESS PLAN (mchanganuo wa biashara) - kuanzia 400,000.00
-COMPANY...
bei ni million 20 zipo eka 10
Linauzwa pamoja na Ardhi
Miti iliyopandwa ni aina ya pine
Na INA umri Wa miaka 7
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na 0742188846
Napatikana...
Nauza godown Lipo katika hali nzuri sana
Lina fence na ukuta mrefu kwa ulinzi wa mali zako.Lipo Dar es salaam ,sinza umbali wa 500m kutoka shekilango road
Maji na umeme vipo
700sqm jumla ya eneo...
Je uko katika kundi mojawapo katika haya?
1. Umemaliza chuo na hauna ajira!?
2. Unayo ajira lakini bado kuna mahitaji unashindwa kuyatimiza kwa sababu ya mshahara kuwa mdogo vivo unahitaji kipato...
Aina ya simu IPhone 4
Internal memory 8GB
Used from UK
Bei Yake ni ya kumudu mtu wa kipato cha chini ivyo ni laki 2 tu
200k only Mawasiliano whatapp me 0659254488 wai sasa zimebaki piece...
Salaam wanaJF.
Naombeni mwenye uzoefu na lodge za bei chee Dsm hasa Ubungo karibu na terminal, Buguruni au Sinza ambazo ni chini ya TZS 25,000 per day anisaidie.
Iwe na AC, maji ya moto, usalama...
TAASISI YA PEACE ADVOCATES FOR AGREEABLE ENVIROMENTAL SOCIETY TANZANIA
Inawatangazia wananchi fursa ya mashamba ya kilimo biashara yanayoendeshwa kwa kilimo biashara na ufugaji wa kuku wa asili...