Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nina mashine ya samsung .. nahitaji fundi ime piga short hai start kabisa inawasha taa ya power only nyingn haziwaki
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta chumba cha kupanga kisichozidi elfu 80 masasi mjini
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyosema, nimepanga kuingia kwenye kilimo katika msimu huu hivyo nahitaji mtu mwenye eneo/anayefahamu mtu wa maeneo hayo mwenye ekari nne na kuendelea na anakodisha anicheki PM...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Inauzwa mbezi ya kimara dsm bado mpya rangi nyeupe ram 1gb, rom 32 gb bei 180,000 picha njoo whatsapp 0683 666 702 serious buyer only.
0 Reactions
2 Replies
589 Views
[emoji412] *TEAM* *SOLUTION* *CONSULTATION* [emoji412] KWA HUDUMA NA (NYARAKA MBALIMBALI) -BUSINESS PLAN (mchanganuo wa biashara) - kuanzia 400,000.00 -COMPANY...
0 Reactions
2 Replies
862 Views
Pata website itakayoongeza thamani ya biashara yako na muonekano mzuri kwa wateja ndani ya siku tatu. Email: info@pixedon.co.tz Au DM me!
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Pata website itakayoongeza thamani ya biashara yako na muonekano mzuri kwa wateja ndani ya aiku tatu. Email: info@pixedon.co.tz Au DM me! Wahi sasa, ni offer ya muda mfupi.
1 Reactions
2 Replies
756 Views
Hii si ya kukosa kwa mwanamke anayejipenda, Femicare ni dawa iliyokwenye muundo wa kimiminika inafanya kazi nyingi kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke.Unatumia siku 7 hadi 10 tu. 1:Huondoa harufu...
2 Reactions
6 Replies
7K Views
Toyota harrier Year 2003 Cc 2400 White Price milioni 25 mpaka inakufikia kutoka Japan kwa mda wa mwezi 1 na week 1 tu. Fika ofisi kwetu Magomeni mapipa. Contact 0658212659 au 0758211799 Sent...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Camera 16MP Battery 5000mAh Fingerprint[emoji818] Boxed with all accessories Clean as new Price: 850k
2 Reactions
1 Replies
3K Views
kwa yoyote anayehitaji universal moderm anicheck bei ni sh 30000 tu
1 Reactions
4 Replies
859 Views
Kiwanja kinauzwa, kipo mwatano, kina ukubwa Wa 30 kwa 26, kinapakana na chuo kipya cha nursing, kipo 2kms from Arusha Road, bei ni 9m, Pungufu tunazungumza. Sent from my PHANTOM5 using...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Natanguliza salam zangu kwako ww ndugu msomaji Natafuta harrier old model 2az engine. Nipo mwz na ninataka kuanzia namba dh...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello friends, how are you doing? My intention of posting this thread in this forum is that am in need of a washing machine, used one but in good condition, Description Kg 4-7 kg Brand : any...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nina kuni nauza zipo Ununio kirikuu nne zinajaa, laki mbili. Pia kama unauza tofali ninahitaji elf 2000 kesho, bei yangu mia saba. Hili tangazo mwisho saa nne kesho. Karibuni sana
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Naombwa kujulishwa mashine ya kufulia nguo Gharama yake na zinapatikana wapi hapa tanzania.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar wana jukwaa ni sehem gani nawez pata korosho za jumla ambazo zimeshatengenezwa mimi nipo dar
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari wakuu.Natafuta nyumba yenye sifa zifuatavyo. 1.Master room moja 2.Chumba cha wageni 3.Jiko 4.Sebule 5.Maliwato 6.Iwe na maji na umeme 7.Iwe sehem salama 8. Budget laki moja hadi laki moja...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu, Nahitaji Line mbili za Halotel chuo, nina shilingi 10,000/= kwa kila Line yaani nakupa 20,000/= kwa line zote mbili. Nipo SINGIDA NO: 0712-268339
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…