Hello Gentleman and ladies ninayo mayai ya kuku wa kienyegi trey 3 kama kuna mtu anayehitaji let's me know ni shs 12000 niko hapo Idara ya maji Arusha mjini.
Sent from my SAMSUNG-SM-N900A using...
Nauza camera aina ya sony (dsc hx 10)
Sifa za camera
Full hd movies.
16 optical zoom
18 megapixels
Memory gb 8
Bei sh 190,000
Mazungumzo yananafasi
Simu namba 0713 091 291
Nauza feni la...
Habari zenu,wakuu.
Naimani wote mpo salama kabisa. Mimi ni kijana wakiafrika, shughuri zangu ni upambaji na kutoa huduma za vyakula (decoration and catering services), katika shughuri...
nlikua kimya kwa muda kidogo baada ya kuona ile dawa ya mwanzoni ina mchanganyiko wa vitu vyenye gharama kubwa sasa nimekuja na dawa yenye mchanganyiko mwepec kuuandaa na mwepesi kuutumia...
Aina-Kenwood
Ukubwa (Ujazo)-1500ml
Imeshatumika mwezi 1
UBoRA-100%
#UBORA100%
Mawasiliano-0673462218
Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
Nina project ya nguruwe kwenye plot ya 1600 Sqm.nguruwe wapo 34.asilimia kubwa wengi ni majike.wawili tayari wana mimba na wawilitumewapandisha.madume wako Kama 8.project ipo bagamoyo...
Habari,nauza eneo na banda la kufugia Nguruwe, bagamoyo,eneo ni zuri 1600sqm,malipo kwa installement kwajili ya eneo inawezekana na endapo unamaliza intallment ya mwisho unapewa na hati kabisa ya...
Naomba kama kuna mtu anafahamu bei ya mbegu ya alizeti kwa debe moja au gunia ni sh ngapi tuwasiliane.
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Habari wakuu kama kunamwenyeji wa handeni naomba msaada wa kupata eneo la heka moja linalofaa kwa ufugaji wa kuku na mbuzi na kama kunaanaye hitaji kushirikiana kwenye hili anakaribishwa pia
Tuanauza Windows Kwa Ajiri ya Computer.
Windows 10 aina zote
Windows 8 aina zote
Windows 7 aina zote.
WINDOWS ZOTE NI FULL ACTIVATED
Pia Tunauza TEMPLATES {THEMES} kali ka ajiri ta blog.
TUCHECK...
.....
Kifungu cha 34(1)(a) cha sheria ya ardhi kinasema mkataba wwte wa kuhamisha umiliki wa ardhi (kuuza,kununua) au kuweka rehan ardhi utalindwa na sheria iwapo utakuwa ktk maandishi.
#NINI...
Nissan Patrol
Mwaka 1988
Manual
Injini TD42
Cc 1838
Mileage 437934
Ac inafanyakazi
Gari inahitaji kubadilishwa piston ring lakini inawaka na kutembea
Bei Tzsh 4,000,000/= Gari ipo Tanga mjini...
Lipo eka 5
Bei ni million 8 na nusu
Aina ya Miti iliyopandwa ni pine
Miti ina umri Wa miaka 6
Kwa mawasiliano nipigie 0764426929,0655726929 na0742188846
Napatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoan...