Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za asubuhi wana Jf inahitajika Gari moja Kati ya hizo tajwa hapo Juu budget 6 - 6.5 karibuni mwenye nayo ni PM no yako nitakupigia maramoja
1 Reactions
2 Replies
914 Views
Jiko nafuu na gharama nafuu. 0784999995. 0654768400./"]www.jamiiforums.com/mobile-gallery/cec196aa3ec0b8f2e78cce406f84427d.jpg[/IMG]
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Make : Volkswagen Model : Bora (1JAPK) Mileage : 63,319km Engine size: 1,980cc (APK) Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic Drive : 4WD M/Year...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Habari Wakuu, Kuna project nafanya kuhusiana na Supermarkets hapa Dar Es Salaam, Nahitaji mtu ambaye anafanya kazi Supermarkets za hapa Dar es Salaam hasa Hizi hapa, TSN Village Supermarkets...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nlikua kimya kwa muda kidogo baada ya kuona ile dawa ya mwanzoni ina mchanganyiko wa vitu vyenye gharama kubwa sasa nimekuja na dawa yenye mchanganyiko mwepec kuuandaa na mwepesi kuutumia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta mashine za kunyolea nywele kwenye salon. Je kuna mtu anaweza kunisaidia mahali naweza pata kwa bei nzuri. ahsante
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Used for 1 month only 330000 fixed Every thing fine, no scratches Full accessories Boxed 0718319771
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hot point Used miez.miwili imetumika kufua mara 4. Kg 7 inafua na kukamua na kukausha. Vyote vinaweza fanyika kwa wakat mmoja. Bei 380,000 Sent from my SO-01F using JamiiForums mobile app
3 Reactions
9 Replies
1K Views
habari, wakuu nauza mbao aina ya pines,zipo mafinga natafuta mteja hasa dar es salaam bei ni nzuri. zipo aina kama ifuatavyo; 1*8 2*4...
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Samsung laptop Hdd 320gb Ram 2gb Imevuja kidogo kwenye dsplay kushoto chini Used Bei 230,000 Simu samsung s6 edge display cracked but inafanya kazi hata touch ina function fresh. Bei 370,000 Ina...
0 Reactions
4 Replies
950 Views
Wadau hv naweza pata wapi hyo home theatre hata ya mtumba
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu habari za kwenu, natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya njiro arusha, iwe single self na kuwe na umeme pamoja na maji, bila kusahau uzio
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nauza laptop imara aina ya dell Ram 4gb Hard disc 500 GB Processor core i5 Betri inakaa masaa manne na chaji laptop bado iko katika condition nzuri Nauza kwa laki nne na nusu ( 450000)
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nipigie simu nitakuelekeza namna ya kushiriki. 0784686575 Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam, Naomba msaada kwa mtu yeyote anaeyajua maduka mazuri yanayouza saa za kiume na za kike kwa bei ya jumla hapa DSM, anisaidie katika hilo, #0713 100 279, natanguliza shukrani zangu za dhati
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba kuuliza kwa anaejua bei ya Gari Mitsubishi Rosa min Bus, kwa showroom za Dar... Aina Ya Gari lenyewe hilo,, adi naondoka nayo sh ngap?? Kwa anaejua anisaidie mi nipo mkoani mbali na Dar...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
760 Views
Nauza Gari la Mazda tribute kama spare za magari.kwa Maelezo zaidi tuwasiliane kwenye 0756 661761 whatssap 0786057 996 kwajili ya picha.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NASEPA BONGO na sitarud ng'o Sasa nafanya kubwaga mali zifuatazo. PS3 cracked imenyooka sana, ipo na vifaa vyake vyote. Pad 2, ndani kuna games 6. Huna haja ya kununua CD. Fridge la samsung...
7 Reactions
169 Replies
53K Views
Msaada tutani , wadau mwenye smart tv nahitaji kununua kiasi changu kidogo ndiyo maana naomba msaada , inch 32 kwa laki 3, mawasiliano yangu ni 0744439790
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…