Nauza eneo Goba 20x20 Meter

Nauza eneo Goba 20x20 Meter

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,594
Reaction score
1,863
Eneo liko M 200 kutoka barabara ya lami, Goba uwanjani, mbele kidogo ya Goba mjini ni tambarare kabisa (hakuna mlima au bonde).

Bei M 13
Mazungumzo 0715812160 au 0764452424
 
Eneo liko M 200 kutoka barabara ya lami, Goba uwanjani, mbele kidogo ya Goba mjini ni tambarare kabisa (hakuna mlima au bonde).

Bei M 15.
Mazungumzo 0715812160 au 0764452424
Ml kumi je
 
Kiwanja bado kipo. Maongezi yapo tafadhali
 
Hapana mkuu eneo ni zuri sana, tunauzia shida tuu ni zuri haswa, liko flat maji, umeme, makazi ya watu na sisi wenyewe tuko hapo hapo ni mjini kabisa

Eneo limepimwa mkuu, manaake 15eM usawa huu pameenda kidogo,,,. kama pamepimwa sema nije pembeni tubagargain
 
Eneo limepimwa mkuu, manaake 15eM usawa huu pameenda kidogo,,,. kama pamepimwa sema nije pembeni tubagargain
Bado mkuu ila utapata ushirikiano kupima bila tatizo. Njoo inbox tuongee bosi au ni check kwa 0715812160
 
Eneo liko M 200 kutoka barabara ya lami, Goba uwanjani, mbele kidogo ya Goba mjini ni tambarare kabisa (hakuna mlima au bonde).

Bei M 15.
Mazungumzo 0715812160 au 0764452424
duuuuh kumbe dar bado viwanja ghali. JUZI NIMENUNUA DODOMA MAENEO YA CHUO CHA MIPANGO KWA MIL5.
 
duuuuh kumbe dar bado viwanja ghali. JUZI NIMENUNUA DODOMA MAENEO YA CHUO CHA MIPANGO KWA MIL5.
Sio ghali mkuu meter 20 sio haba, nyumba na parking na garden nzuri kabisa na ni mjini huduma zote karibu. We hujui kama dar ndio kila kitu, hata mji ukiamia dom, dar bado ita kuwa on fire tuu labda muhimbili pia ihamie dodoma[emoji3][emoji3]
 
Eneo liko M 200 kutoka barabara ya lami, Goba uwanjani, mbele kidogo ya Goba mjini ni tambarare kabisa (hakuna mlima au bonde).

Bei M 15.
Mazungumzo 0715812160 au 0764452424
20m x 20m = 400Sqm
Tshs 15,000,000/400Sqm
= Tshs 37,500/1Sqm (Unsurveyed)
 
Wadau bado kiwanja kipo na bei imeshuka zaidi mwenye m13 aje tumalizane tafadhali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom