Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau, bila kupoteza muda nimeleta biashara hapa ili mwenye ufahamu aniambie imekaaje ili tupige kazi! Kuna jamaa yangu ndugu yake yupo nje ya nchi, Amempigia simu jamaa na kumuomba Atafute...
1 Reactions
2 Replies
705 Views
Hp notebook *Windows 8.1 pro ( 32 bits) *Ram 2 gb *HDD 300 GB *Processor Intel Core 2 Duo *Battery Life: 4 hours. *Used but in good condition. *Location....Mwanza *Contact 0754995752...
0 Reactions
3 Replies
832 Views
Habari zenu wapendwa,, karibuni nafanya huduma ya kufua nguo kwa kutumia mashine na kupasi. Bei zangu ni nafuu kuanzia 1500, napatikana mabibo makuburi, ubungo Dar es salaam , maeneo yote ya Dar...
1 Reactions
3 Replies
616 Views
Jipatie unga bora wa mbegu za maboga kwa sh 5000/=(robo),sh 10000/=(nusu),sh 20000/=(kilo).Ukihitaji tupatie mawasiliano yako. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Ina tiles, gypsum, Maji yapo na luku watu wawili. Bei Tshs 250,000 Wasiliana: 0713226191 / 0752953860
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nyumba zilizoshikana zinapangishwa Kunduchi Mtongani √ Vyumba2 (masta1), sebule, jiko fitted, choo public. Luku unajitegemea, maji yapo. Bei laki4/mwezi- Miezi6 √ Vyumba2, sebule...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Karibu sami home Graphics design ... Tuna design Logo, Lebo kwa wajasiliamali, Matangazo ya mtandaoni, Business card, rollup banner,catalog, hotel & restaurant menu, business proposal,company...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
HABARI, za mchana leo nataka nikufundishe somo dogo kuhusu afya yako. Kuna wakati tumekuwa tukiambiwa tu kuwa asali ina faida kubwa katika mwili wa binadamu lakini hatujafahamu umuhimu huo wa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natafuta nyumba ya kupanga, iwe na Chumba Kimoja cha kulala, kikubwa cha kujitosheleza, Sebule, Choo na bafu vya kujitosheleza kiukubwa,sio vilivyobanwa sana. Jiko kubwa kiasi la kujitosheleza...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Nauza dagaa wa chumvi (dagaa wa Zanzibar) Napatikana dar mbagala kg. tsh.5500/= mawasiliano 0717280366 karbuni kwa wanaohitaji
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nauza nikon d3000 Lens 55-200 mm Nakupa charger yake Battery la uhakika Memory 4gb Bei 650,000 Anayehitaji mawasiliano 0674982656 Karibu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale wanaohitaji asali-halisi isiyoongezwa chochote, sasa inapatikana kwa wingi Bei yake ni 11000 kwa Lita moja , 52,000 kwa Lita tano Tuna sambaza kwenye mahoteli, maduka ,supermarket...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo Morogoro, naiuza kwa sababu nakwenda masomoni,nauza fridge pamoja na king'amuzi cha star times(cha dish.) Fridge naiuza 400,000 tu,na ina miezi minne tangu niinunue!!! Sent using Jamii...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
karibu sami home Graphics design ... Tuna design Logo, Lebo kwa wajasiliamali, Matangazo ya mtandaoni, Business card, rollup banner,catalog, hotel & restaurant menu, business proposal,company...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Clean and good condition Mpya ila unboxed Lens 18-55 mm Come with 2 card 8g and 16gb 1 Battery and canon charger Call or text 0674982656 Bei 850,000
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Duos Core Prime android v4.4.4 8GB 5mpxl 2mpxl BEI 120000/= TU MAWASILIANO 0717 351717
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habar jmn nauza silver nitrate kuanzia gm 25.....njoo inbox kwa maelezo zaid Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
602 Views
MANK oriented GIS Group ,we offer different services concerning about GIS software,for more Information check get more feedbacks from the business card below. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
532 Views
nataka kujua gharama ya mbao 100 za kupaulia nyumba.na gharama ya kuzisafirisha kutoka mafinga hadi kibaha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Mambo ya startimrs hayo bei chee elfu 22000 tu na dishi 44000 tu ni shdaaaaaaaaaaaa.
2 Reactions
95 Replies
36K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…