Hapo vipWeka picha wenye hela na wanaohitaji wakutafute
Sent from my Phillips Savy
Hiyo Vitz iliyopakwa rangi ya mabati ya Dragon ukiuza hata milioni tatu, kajipongoeze.
Ha haa! Eti kaiweka plate number mpya ili kumdatisha mteja aone kama gari ni mpya vile... Ngoja Wasukuma waje waichangamkie fasta...🙄Hahahhahhaa yani vits ya kusajiliwq Tz 2011 anauza milioni 5.5? Kabla ya kupost muwe mnafanya research kwanza
Labda wanyasa, wasukum* skuiz wanazijuaHa haa! Eti kaiweka plate number mpya ili kumdatisha mteja aone kama gari ni mpya vile... Ngoja Wasukuma waje waichangamkie fasta...🙄
Au wagosi akina mshana. Si baiskeli zinatosha gari mbwembweee