Anayeitaji mtungi wa gas complete au exchange pamoja na majiko ya gas kama aborder, home base, boss anione, utaletewa bure hadi nyumbani. Ofa hii ni kwa wakazi wa morogoro mjini tu
Ukiitaji...
Habari,
kama wewe ni masanii wa music wa aina yoyoye na unataka kufanya video nzuri kwa gharama ndogo kabisa ya sawa na Bure au bure kabisa wahi ofa hii kutoka kampuni ya Moo Entertainment...
Bei mpya za simu za tecno hizi hapa, okoa pesa zako, nunua kwetu, haijawahi tokea
Bei mpya
Tecno mpya cx 300000
Tecno c9 320000
Tecno j8 270000
2 w3 150000
Tecnw3lt 185000
Tecno w1 125000
Tecno...
Nyumba iko nyasubi Kahama ,ina vyumba vitano vya kulala na sebule moja, pia maji, umeme vinapatikana.
Ina fance ya nyumba ingine kwa nyuma ambayo imekomea kwenye lenta , eneo zima ni nusu heka ...
Africa Feeders Company Limited wanakuletea unga safi, mweupe wa muhogo kwa ajili ya ugali, chapati, maandazi, mikate na matumizi mengine mengi.
Packages za 5kg, 20kg na 50kg.
Kwa order uletewe...
Mwanangu amevunja tv yangu ya inch 40 kwa kuipiga na remote! Na kwa bahati mbaya imevunjika screen kama inavyoonekana ktk picha hapa chini [emoji116]ninaomba msaada kama kuna mtu anayo au anamjua...
Simu Alcatel 5023F inauzwa ni ya mwez wa 3.
Laini mbili na betri yake inadumu sana yaani 5000mAh
Bei ni 150000(mazungumzo yapo)
Mawasiliano: 0765329261
Nipo Iringa( Mbeya,Dodoma,morogoro...
BEI ZA VITABU
Vitabu vifuatavyo vyenye kanuni (formulations) za utengenezaji wa bidhaa mbali mbali vinapatikana kama soft copies yaani wakati wa kulipia kitabu husika...
Shamba linauzwa lina ukubwa wa ekari tatu lipo dodoma mjini maeneo ya mzani(nala),umbali wa kama kilomita zisizozidi 12 kutoka town cente na kamaita 700/800 kutoka barabara kuu ya lami iendayo...