Nunua bidhaa kwa urahisi!
Kwa wale wapenda vitu vya kijanja na kwa bei rahisi, bonyeza link hii kujiunga na mtandao wako.
KiKUU Online Shopping Mall
Sent using Jamii Forums mobile app
hello wana JF,kwa mwenyekujua mahali nitapaweza kuwapata bata bukini au wale wenye midomo ya njano tusaidiane
mimi nipo dar na nataka kuanza ujasiriliamali na hao bata pamoja na bata maji
thanks
Masharti ya gari hiyobiwe
1.Namba C au D
2.Isizidi Cc 1350
3.imetembea km chache chini ya laki mbili
4.Haijawahi kugongwa wala kupakwa rangi
5.Transfer fee na law procejures tunachangia...
Color Beige, CC 1490 AB ABS AW NV TV, 90,000km
Total cost Tsh 9.8Mil + Ushuru
Agiza nami:
call/whatsapp +255715471659
e: hamoudautocom@gmail.com
..wakati wote ni wakati wa kazi..
Our Company '' EXPERT SERVICE investment Ltd ''
We offer Fumigation services and Pest Control service for :
1.Office &household
2.Compound
(a) farm
(b) Construction sites
3 . Warehouse...
Nina samsung min
Hdd320
Intel
Ram 2
Betri haikai na chaji
Spika inatumia za nje ama earphone
Ipo poa kila kitu
Sina bei kubwa
180000 tu mwisho
Nakuachia ukaenjoyukaenjoy
Contat 0655997761
habar za muda huu jaman.
kuna simu inauzwa n samsung s3 n nzma haiana tatzo kbsa.
anayeitaka aje PM
bei n 180,000/= maelewano pia yapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale wanaohitaji blogs au wanazo na wanahitaji kurekebishiwa zionekana za kibiashara ni kwa mtonyo wa 10000 tu nichek PM au nitumie text through my no. 0752292473
Blogs bora hukufanya umake...
Habari za majukumu wanabodi, kama mada inavyojieleza,,ninababu yangu kanikabidhi Lita mia mbili za asali toka tabora..sina uzoefu WA bei harisi kwa hapa dar es salaam. Naomba mwenye ufaham na soko...
Taja simu ya kisasa yenye kamera kuanzia 8 mp, ram 1 au 1.5, display 4.5 au 5. Kama ipo yenye zaidi ya hivyo au sawa na hivyo tusaidie kushare.
Warning: isiwe used au model za tecno, itel na...
Wadau natafuta complete set ya King'amuzi cha AZAM TV kwa bei ya awamu ya tano aka bei chee, mwenye nacho ataje bei hapahapa jukwaan. Nikiona inalipa ndo tunaenda PM.
Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo,
Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi
Wote mnakaribishwa kuweka order zenu
+255752563313
Kampuni yetu ya one2onefocus limited yenye makao makuu jijini Dar maeneo ya Makumbusho complex inakutangazia viwanja vilivyopimwa maeneo ya kisarawe kazimzumbwi ukubwa wa kiwanja ni mita 25 kwa 30...
Hello wakuu hopefully wazima wa afya ndugu zangu nauza Godoro la 6*6 kwa sh 70000 elfu na carpet la manyoya kwa sh 50000 tu karibuni napatikana Sinza mori .kwa no 0620685593.
Sent using Jamii...
Wadau nauza scooter yamaha ambayo ni automatic (kama Gari) yaan ni mafuta na break tu. Nauza kwa Tsh. Mil. 2.8 tu. Scooter ipo Dar. Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Work Station Laptop for Sale: HP Pavilion, 12 RAM GB, 1 Terabyte Storage, Touch-Screen, i5. Tshs 800,000 (bei hii ni kwasababu screen ina crack, yaani kulia ni Touch kushoto ni Kawaida - utanotice...