Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Digital Camera Panasonic (imetumika) inauzwa. Sms or Call:
0 Reactions
1 Replies
774 Views
Wakuu nauza Samsung TV inch 32 pamoja na deki ya sing sang .bei 400,000/=kwa vyote. Napatikana dar,bei ni fixed...hakuna punguzo Anaeitaji njoo pm
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Napatikana hapa Nyegezi Stand Mwanza, nimefungua office yangu mpya ya MYHAMALA PESA, inajihusisha na Tigo, Voda na Airtel... NATAKA KUPATA kuapata MASHINE YA MAX MALIPO ili kuboresha na kukidhi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hii nyumba ipo kimara temboni na apartment zingine zimeshapangishwa ni Vyumba Viwili kimoja master na imesimama dirisha za vioo ni mita350 toka barabarani maji ni uhakika njoo inbox kwa...
0 Reactions
1 Replies
689 Views
Habari wanajamvi,nahitaji gari nzuri ya kutembelea kati ya zilizotajwa hapo juu,OFA yangu ni 5,000,000/= Call/Whatsapp 0655874863
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wadau Nina jamaa yangu anahitaji cruiser coil ambayo ipo tayari kupakia wageni,yaani I we imeshakatwa na iwe fupi. Kuna mil 30 fasta. Hebu niPM
0 Reactions
1 Replies
690 Views
wapi nitapata wino wa kujaza catridge (hp) kwa bei nafuu,Arusha?
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Nauza spika za music kwa sherehe za ukumbini au nje ya ukumbi hizi spika zinafaa kwa wanaopiga music wa sherehe, kwani ziko nne mid range mbili kila moja ikiwa na spika za Candy mbili na base...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Natafuta Camera mwenye nayo aweke namba hapa nimcheki NIKON 3200,5100,AU 5300 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu Ninauza kiwanja kiko maeneo ya kisasa dodoma mjini.kimepimwa na kina hati na kina pagale ndani yake.kiko block E na plot no.25!!! Kiko umbali wa kama mita 130/170 toka barabara kuu ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za muda huu, kwa wapenzi wa ubuyu na wajasiriamali.. Nauza ubuyu kutoka Zanzibar kwa elfu 33 tu ndoo ndogo ya lita 10,ubuyu Mtamu.. Na napokea oda kwa idadi unayoitaka.. Ubuyu unapikwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nina kahela kidogo nataka nikazungushe kwenye m pesa labda nami nitainuka kiuchumi.kama una laini ya m pesa nami niwe wakala wa m pesa njoo kwa 0752640448.niko Arusha Sent using Jamii...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Habari ya wakati huu wakuu, Naomba kwa anayefahamu garama ya kutoa gari badari ya Dar es Salaam anisaidie, kama TRA, clearing and forwarding nk. Je dumping fee inatozwa kwa gari za kuanzia mwaka...
1 Reactions
0 Replies
741 Views
Slightly used Color - White Plug and play (no need for drivers CD) Power cable and connection cable (included) Compatible with 85A cartridge Price - 180,000/= Contact: 0756 879534 Availability - DSM
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta fundi wa laptop aliyeko Arusha. Laptop yangu inaunguruma sana ninapoiwasha pia baadhi ya button hazifanyi kazi. Kwa yeyote mwenye utaalamu naomba...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Specifications >Iwe mpya >Iwe na cover >Iwe na charger na phones Bei 800000 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
721 Views
Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza Wakulima wa karanga Tanzania, kijana wenu Diamond katangaza neema hiyo ya kununua karanga. Mahitaji yao ni tani 100 kila mwezi na sifa za karanga zipo...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Gari rav4 inauzwa, kwa anayehitaji tuwasiliane kwa taarifa zaidi, muuzaji anapatikana kwa 0784287546. (Only for serious buyer) Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kila punje moja katika pakiti ya diamond karanga unainunua kati ya Tsh. 15 - 18, kabla ya kutoa gharama za uzalishaji. Zinatakiwa kuwa 20, sema ndio hivyo unaweza kukuta hadi 16 katika pakiti...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…