Hebu jibu kwanza swahi uliloulizwa halafu ndio tuanze mjadalaWadau nipo dsm hapa nahitaji kununua kuku wa nyama uwezo wangu ni kuku 400 hadi 700. kwa ambaye yupo tayari naomba tuwasiliane. my number 0785652675
Wadau tuache utani..., hivi kama mtu ni tapeli atakujibu ndio mimi ni tapeli ?, wewe fanya due diligence mwambie kama kuku unao aje mlipane kwanza mfanye biashara
Wadau tuache utani..., hivi kama mtu ni tapeli atakujibu ndio mimi ni tapeli ?, wewe fanya due diligence mwambie kama kuku unao aje mlipane kwanza mfanye biashara
shekilango