Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kutana na wauzaji pamoja na mafundi mahili wa kuweka tiles, marbles/granites.Ofisi zetu zina patikana Kinyerezi.Njoo upate ushauri pamoja na huduma kutoka Modesign Finishing Company. Mawasiliano...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari! Napenda kutoa fursa kwa yeyote ambaye ataweza kusupply mayai tray 150 kwa wiki. Mazingatio ni kama ifuatavyo 1. Mayai yawe safi pia bila kupasuka. 2. Aweze kuyapack kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jipatie earphone za kisasa kwa bei chee Ni shilingi elfu 8 tu Zina mziki mzuri na pia zina mic Na zina waya ngumu sio rahis kukatika [emoji115] [emoji115] [emoji115] Nyingine hizi hapa Kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu, kanisa limeanzishwa, waumini wamejichanga na mimi nimekabidhiwa fedha kwa ajili ya kununua Kinanda nauliza bei ya Kinanda 450 na 770 au zaidi tukikubaliana tufanye biashara.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pata mageti imara ya chuma toka hapa Autoguru Workshop tunapatikana Kinondoni Manyanya mtaa wa Brazil. 0688767668 au 0715967107
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Habari wana jf eneo lenye ukubwa wa heka 16 linauzwa, lipo sehemu nzuri na linafaa kwa matumizi mbalimbali lipo Pangawe Morogoro Kwa yule atayehitaji tukutane PM
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Single room kodi ya mwaka mabibo near Nit barabarani na rahisi kufika fense, maji na pasafi Panahitaji vijana wasio na familia hakuna kulipa pesa ya dalali. 60,000. PM
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Vyumba na sebule vinapatikana mbezi beach kwa bei nafuu kabisa..... Call 0624179577.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Vans shoes available size 40-45 Price: 22000 Kwa mawasiliano zaidi piga au whatsapp 0652397689
0 Reactions
3 Replies
911 Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza.Nina gunia 50(hamsini) za mahindi ya njano aina ya CP 201 naomba kuzwa soko lake nitalipata wapi Kwa Dar es salaam au Tanga
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa Nyamadoke Mwanza wilaya ya ilemela Kina ukubwa wa 16×18 Kimepimwa Bei ni milioni 1.6 Kwa maelezo zaidi njoo PM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unapatkana makumbusho 0716628257
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna kipindi kinafika humwamini kabisa muuzaji wa duka lako maana hesabu anayokuletea haiwiani na hali halisi ya biashara, Unakuta kila unapopitamaeneo ya dukani kwako wateja wamejaa lakini mwisho...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Salaamu, Naomba ushauri, Kwa wazoefu nataka kuagiza gari nje(gari mtumba),bajeti yangu ni milioni 15. Naomba wenye uzoefu wanishauri maana itatumika kijijini hakuna lami pia matumizi ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za usiku huu wapendwa nipo dar nauza sofa (120000) , fern 15000 pamoja na decorder ya Startimes na antenna yake na waya 40000 vifaa vyote hivo havijatumika sana Nipo dar vingunguti, kwa...
1 Reactions
102 Replies
10K Views
Mwenye External Hard Drive/Disk yenye kuanzia gb 100 mpk gb 500 aniuzie Au ht mwenye flash yenye 32gb aniuzie Bajeti ni Pesa kidogo tuu
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuhamia kwa serekali Dodoma kutafanya viwanja vipande bei maradufu. Ushauri wangu kwa wanaotaka kuhamia dodoma na bado hawana viwanja,mashamba dodoma kuwa muda ndio huu wa kushughulikia na jambo...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Do you wish to travel by plane and you don't know the starting point? L and I FLIGHTS is the good solution and easy way to accomplish your dream to all destination local and international ,how...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Nimehamia sehemu ambayo siwezi litumia tena hili zulia langu. Urefu ni 2.5m Upana 1.5m Lipo safi,linavutia na halijachoka kabisa. Napatikana dar(mwananyamala) Simu:0788622610...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Karibu Autoguru workshop kwa mahitaji ya fenicha mbali mbali Tembelea www.autogurugarage.co.tz Tuandikie info@autogurugarage.co.tz 0688767668//0715967107
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…