Extenal HDD au Flash kubwa Inahitajika

Extenal HDD au Flash kubwa Inahitajika

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,649
Reaction score
3,817
Mwenye External Hard Drive/Disk yenye kuanzia gb 100 mpk gb 500 aniuzie

Au ht mwenye flash yenye 32gb aniuzie

Bajeti ni Pesa kidogo tuu
 
1TB HDD, INA videos&audios 600GB, free space 400GB.....Leta 200k
 
Karibu Hellenea Enterprises ujipatie flash za sandisk mpya kwa bei nafuu sana
8Gb =14,000/-
16Gb=18,000/-
32Gb=30,000/-
64Gb=35,000/-
128Gb=45,000/=
Tunapatikana Tegeta Sikansika kwenye kituo cha Mafuta cha Oilcom
Tupigie simu no 0711972446
Karibu sana
 
Karibu Hellenea Enterprises ujipatie flash za sandisk mpya kwa bei nafuu sana
8Gb =14,000/-
16Gb=18,000/-
32Gb=30,000/-
64Gb=35,000/-
128Gb=45,000/=
Tunapatikana Tegeta Sikansika kwenye kituo cha Mafuta cha Oilcom
Tupigie simu no 0711972446
Karibu sana
Hzo flash ni aina gani na garantii muda gani? Ungeweka na tupicha kdg mkuu
 
Back
Top Bottom