Wadau mimi ni mjasiriamali ambaye ndo ninaanza anza shughuli za biashara anuai.Katika pekua pekua yangu nimegundua fursa mbalimbali ambazo bado hazitumiki ipasavyo na zinatumiwa zaidi na wageni...
Habari wadau, nauhitaji wa haraka wa motherboard ya laptop
Model: HP Pavilion 13.3" 13-a010dx Intel i3-4030U 1.9GHz Motherboard
Kwa yeyote aliyenayo anicheck kwa mawasiliaono haya: +255685034245
Nina asali mbichi toka Tabora ya nyuki wadogo na wakubwa natafuta soko popote ulipo hasa Dar es salaam anayehitaji anifate inbox au no 0783552816 nipo Urambo Tabora
Kiwanja kikubwa kina msingi wa nyumba wenye vyumba 5 vya kulala dining room jiko vyo viwili vya ndani parking kubwa
Kiko Karibu na shule ya msingi KIDUGALO.
Piga 0768412181/0655412181
Kiwanja kinauzwa
*Ukubwa 30×30
*Mahali: Kahama,Ilemela
*Sifa zingine: Kimepimwa,kina nyumba ndogo ya slope
*Bei Milioni 6 na nusu (Tsh. M6.5)
Kwa maelewano/Maelezo zaidi njoo PM
Awe msichana age 18-25, amepitia course ya computer au amewahi Fanya kazi za stationery awe msafi,mwaminifu,mchapakazi awe na mapokeo mazuri kwa wateja awe mkazi wa DSM .mshahara maelewano!!
Habari wakuu,
I just need your help, nilikua natafuta nyumba ya kupanga.
Location: Kuanzia kimara kona hadi korogwe upande wa kulia ukiwa unatokea posta.
Budget: TSh 200,000 to 250,000...
Hii, nauza garlic paste, kitunguu swaumu kilichosindikwa
jumla na rejareja
Jumla 4250 kuanzia PC 10, na rejareja 6000
Napatikana dar, Ubungo, mikoani natuma
0714547830
Kwa wale Wa Posta...
Escudo 4cylinder, owned by Indian Lady 25,000,000 almost new
Nissan immaculate condition 12,000,000
Scania zooote ziko safi mnoooo @ 55,000,000/=
Karibu pm kwa kuona cha kufanya
Zote zina jina...
Habari wadau,
Kichwa kinajieleza,
Plot hii inaukubwa wa Ekari 7 (Saba)
Umiliki ni wa Hati Miliki.
Huduma za Maji na Umeme zipo jirani.
Barabara nzuri na eneo limejengeka.
Ipo jirani na Shule...
Inauzwa ina tatzo ukipigiwa simu mpaka uweke loud au earphone vitu vingne vko ok kila kitu kkoo walisema ni ac problem ufundi walisema 20,000 bei ya kuuza 100,000 au exchange na tecno C5
Mbezi ya...
Je ungependa kuezekea bati bora na za kisasa zenye rangi?almaarufu kama msouth?basi usipate tabu tutakuhudumia kwa hitaji hilo ......tuna bati za gauge 30 na 28 rangi zote...