Secretary /stationery attendant anahitajika

mwamisha

Member
Joined
Jul 4, 2017
Posts
59
Reaction score
22
Awe msichana age 18-25, amepitia course ya computer au amewahi Fanya kazi za stationery awe msafi,mwaminifu,mchapakazi awe na mapokeo mazuri kwa wateja awe mkazi wa DSM .mshahara maelewano!!
 
Kwani lazima awe mwanamke? Anyway,wanakuja subiri.
 
Awe msichana age 18-25, amepitia course ya computer au amewahi Fanya kazi za stationery awe msafi,mwaminifu,mchapakazi awe na mapokeo mazuri kwa wateja awe mkazi wa DSM .mshahara maelewano!!
Nicheki nikupe mdogo wangu, yuko vizuri sana kwenye hiyo kazi. 0713322856
 
Awe msichana age 18-25, amepitia course ya computer au amewahi Fanya kazi za stationery awe msafi,mwaminifu,mchapakazi awe na mapokeo mazuri kwa wateja awe mkazi wa DSM .mshahara maelewano!!
Mawasiliano hujaweka, tutakupataje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom