karanga mbichi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 269
- 222
Kama upo arusha na unauza azam dish(package nzima)nijuze hapa tufanye biashara,,,iwe used au new brand,,,bei isizidi 150000/=
150k sory15000???
Mie nipo kwa mfupi na siuzi...!Nipo Kwa Mrefu,nauza 7800
Kama upo arusha na unauza azam dish(package nzima)nijuze hapa tufanye biashara,,,iwe used au new brand,,,bei isizidi 150000/=
sio offer hiyo ndio bei ya Dstvwait mzee kuna offer ya Dstv full package ya 59000 siku ya ijumaa na alhamisi mliman city pale