Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza simu aina ya sumsung galaxy j5 kwa 250000 na kitanda mbao orijinal 5*6 kwa 270000
0 Reactions
8 Replies
3K Views
wana jamii nilikuwa nataka kufuga ngombe , nilikuwa napenda kujua bei yake pia na bei ya mbuzi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mahindi fresh mabichi kwa anaehitaji shamba lipo mwasonga kigamboni Dar es salaam
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wandugu, Naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kati ya mashine tajwa hapo juu ni ipi nzuri. Sehemu ninapotaka kuiweka concern kubwa ni LUKU customers maana sio mjini sana. Naomba mwenye...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Ina vumba 3,vya kulala Dining table ,sebule,jiko,,public toilet. Sm.0752141957
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Habari wakuu, Friji kubwa na nzuri na bado mpya inauzwa. Upande mmoja fridge mwingine freezer pia INA water dispenser. mwenyewe anahama nchi ndio sababu ya kuuza. 1.2m IPO tabata kinyerezi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Natafuta laini kwa ajili ya uwakala,alie Nazo tuwasiliane.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Karibu muwekeze kwenye kilimo na miti. Shamba langu nauza linafaa kulima viazi mvingo, mahindi,njegere, ngano na kupanda miti kama mipaina,milingoti na mibani.ukitaka eka moja au zaidi sawa,bei...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wadau, naomba msaada wa maelekezo na maelezo kwa anayejua duka la nguo nzuri za watoto wa kiume hapa dar kati ya miaka 3-6 na price zake kama zinafahamika!! au kama kuna mtu anauza pia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nauza i phone 6 16gb kwa laki 6 maongezi kidogo yapo... Imetumika miezi nane
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu hali imebana natafuta gari RAV4 nina milioni 4 tu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
ingia hii link E-currency exchanger listing, best rates from reliable exchangers then ikifunguka nenda affiliate program then shuka chini kidogo utaona neno register bofya baada ya hapo jaza...
0 Reactions
4 Replies
960 Views
Habari wana bodi? Kama kuna mtu ana hitaji kitu chochote kinachopatikana kwa urahisi na bei nafuu katika mataifa ya Russia na Ukraine, tafadhali aje PM. Atanunuliwa mzigo wake na kuletewa hadi...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Tunauza nguo za watoto za mtumba za ukweli, Magauni, sketi, blauz, sweta, pensi, suruali, short pens, swiming cost, t shert, shati, nk bei ni sh 8000 nakuendelea tunapatikana karume piga namba...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari. Husika na kichwa cha habari. Nauza bajaj used. Ipo kwenye hali nzuri kabisa. Bei ni 3.5mil. Karibuni.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nyumba Inapangishwa Ipo Mwenge Kanisa La Rc Karibu Sana Na Bamaga Na Afrikasana Ni Vyumba Viwili Vya Kulala Sebule Jiko Choo vyote Ndani Na Parking Ipo N Ndani Ya Geti Tuwasilian
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimejaribu kufuatilia bei za viwanja na nyumba Jf na ktk mtandao fulani maarufu wa kuuziana vitu na nimegundua kuwa bei za nyumba huko kidogo zipo chini sana, mathalani, unakuta nyumba ya vyumba...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama unachochote au hata kwa jirani au rafiki usije ukakiona kidogo au kibaya kunawengine wana kitafuta hicho Hivyo tualifu na tutakifuata ili tuchanganye na vya wengine, kisha tutatangaza siku ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Haya jamani usiweke tv kwenye stuli ni hatari kwa kwako na mandhari ya sebule jipatie stendi kwa 70000 napatikana bondeni karibu na tangi bovu wahi kabla cjasombwa na maji mm na stendi...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Toyota crown TZS: 14,000,000 Harrier TZS: 15,000,000 Mawasiliano 0754741162
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…