kwa anayehitaji laptop kali na ya kisasa tuwasiliane kupitia no 0715-546818 , laptop ipo katika hali nzur sana haina hata mchubuko , ni lenovo, core i7, ram 8gb, hard disk 500 gb, bei ni tsh...
Dagaa waliokaangwa vizuri na wazuri walio katika grade nzuri kutoka ziwa Victoria wanapatikana kwa bei nafuu mno itakayokupa faida nzuri utakapouza kwa rejareja hata kwa jumla. Kama utahitaji...
Wakuu nahitaji Nyumba ya vyumba viwili , sebule, jiko na choo cha ndani, luku ya kujitegemea na Maji. Maeneo yoyo dar, yalio Karibu na Mjini. Bajati yangu 200000.
Dalali hatakiwi.
Za mda huu! Wadau natafuta nakala za vitabu(hard copy) vya E.Chahali kwa hapa Dar es salaam. Either ni mmiliki wa bookstore - - waweza nielekeza wapi bookstore yako ilipo nikaja kuvinunua, au kama...
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi ambaye niko Rombo Kilimanjaro, natafuta mwalimu wa kubadilishana ahamie Rombo na mimi nihamie Dar es Salaam. Kwa mawasiliano 0763686230
kwa wale wapenzi wa kusoma vitabu mbalimbali sasa mnaweza kupata vitabu online kwa bei ya chee nicheki kwa 0713503753 muda wowote utatumiwa kitabu ukipendacho
Kwa mahitaji ya Ubuyu wa Zanzibar kwa Babu Issa, piga/whatsapp 0777043435, jumla na rejareja mikoa yote tunatuma.
-Piece moja(1) sh. 1000/= kwa jumla (Jumla kuanzia piece 50), rejareja sh.1500/=...
[emoji213]Mashuka Mashuka Mashuka
Mashuka y kisasa kabisa kutoka china yaliyo na rangi mbali mbali nzuri za kuvutia ni
1Pure cotton
2 Mazito
3 hayachuji
4 imara yasiyo pauka
Shukamoja la...
msaaada puliz,kwa wakali wa hizi kazi,...ndio unyunyu pekee naoukubali dunian,..nmeutafta saaana nmeukosa dsm hii,..huko nilikoununuaga siwez kwenda tena,so kama unaweza nisaidia fanya hvo mkuu
Ndugu wana Jukwaa,ninauza kiwanja kinapatikana Dar,Mbezi,Mpiji,Magula kituo cha igoma,kipo mita 9 kutoka kituoni,umeme na maji vipo,na kipo eneo la tambarale,20-20 ni 8 M na Nusu,20-25 ni 13M,na...
Habarini wana jamvi
Natumai hamjambo
Nauza kiwanja cha 3/4 ya ekari kwa shilingi lak nane
Kiwanja kipo maeneo y MKOKA KONGWA DODOMA ANAYEHITAJI
ANIPM
Nawatakia weekend njema