Natafuta Nyumba ya kupangisha

Natafuta Nyumba ya kupangisha

kideko

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
296
Reaction score
217
Wakuu nahitaji Nyumba ya vyumba viwili , sebule, jiko na choo cha ndani, luku ya kujitegemea na Maji. Maeneo yoyo dar, yalio Karibu na Mjini. Bajati yangu 200000.
Dalali hatakiwi.
 
Mkuu laki 200000 itakuwa uswahilini sana labda 500000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom