Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Liko kwenye hali nzuri sana Ina document yake pia Bei majaa 5mln Iko dar es salaam Kwa mawasiliano piga simu 0715591141(serious buyer only) OvA
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Habari zenu wanajamvi wa MMU, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo. Simu haina tatizo kabisa. Imetumika kwa miezi mitano. charge yake ipo original. Bei ni Tsh 250,000/= Pungufu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Napenda kuwasilisha kwenu wadau mifumo aina mbili ambayo ipo sokoni hivi sasa 1. School managements system 2. Hospital, pharmacy cashier system. TUANZE NA SCHOOL INFORMATION SYSTEM...
3 Reactions
18 Replies
8K Views
@nafuuelectronics_supplier Inasaga na kuchuja kabisa(yenyewe) inatumia umeme pia ina uwezo wa kutotumia umeme 230,000/= #0717-062242 #0757-562378 delivery in dar na mikoani tunatuma pia tupo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunatengeneza logos, kudesign packages za bidhaa mbali mbali, calenders, mabango, banners n.k kwa ajili ya biashara na events Wasiliana nasi kwa namba 0620775877 Hizi ni baadhi ya kazi zetu
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wana jamvi, Napenda kuwatangazia soko la vifaa vya stationery ambayo nimeifunga muda si mrefu kuna lamination machine, binding machine na vifaa vinginevyo vingi. Kwa mwenye interest...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari zenu? Nahitaji nyumba ya kununua, Tanga mjini au maeneo ya jirani. Sifa za nyumba. Iwe eneo salama, kusiwe na mafuriko Umeme na maji yawepo Nyumba iwe na angalau vyumba vitatu vya...
1 Reactions
0 Replies
637 Views
JF kwa maendeleo. Jamaa leo nimekuja na kichwa hicho cha habari. jamani ambae anaweza kunipa taarifa kuliko na soko la asali nitamshukuru. akiainisha bei japo kwa lita 1 itakua poa sana. Mikoa ya...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Umewahi kuagiza au kutaka kuagiza bidhaa kutoka mitandaoni kama Amazon, Ebay au Aliexpress lakini muuzaji (seller) hasafirishi kuja Tanzania? Suluhisho ni sasa, Tuna nunua na kusafirisha mizigo...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari wanaJF Kuna mzee ana shamba anahitaji mtu wa kushirikiana nae kulima (Mtu huyo ataweka mtaji), mzee atatoa shamba. Shamba hilo lina kisima in case mvua ikikosekana. Shamba liko Bagamoyo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninauza betry ya Detector model Gpx 4800, 5000 . BETRY NI MPYA NILIAGIZA AUSTRALIA BAHATI MBAYA DETECTOR YENYEWE IMEIBIWA KABLA SIJAPOKEA BETRI, HIVYO IMEFIKA SINA MATUMIZI NAYO BEI YAKE NI TSHS...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Mikopa tunapatikana mwanza
0 Reactions
17 Replies
2K Views
*Ipoc_Smart* We bring quality products at good prices Upadeted Stock list Iphone 6+ -950k Iphone 6-780k Iphone 5s-500k Iphone 5-400k Galaxy S6 edge-780k galaxy S6-550k Call/whatsapp: 0713 160...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nahitaji chumba cha kupanga self maeneo ya gongolamboto au hata maeneo ya jirani,natanguliza shukurani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Free Airflow about: 4m³/min (cubic Meter per minute) or 140 cfm (cubic feet per minute) A little bit less is also ok, more is also good Screw air unit 3-4 piston engine Mwenye nayo...
0 Reactions
1 Replies
519 Views
Mwenye kernels {korosho iliyobanguliwa} ww320 kuanzia tani 3 naomba anicheki inbox tafadhali. Asanteni sana
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Mwenye nayo tafadhali, gharama reasonable, na sehemu ya usalama. Ikiwa na uzio itakuwa vizuri.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jf,naomba kujuzwa bei ya matenki ya kuhifadhia maji iwe bei ya polytank,simtank au kiboko ujazo iwe lita 1000 na 2000 naomba kujuzwa kwa wale wanaofahamu jamani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…