Vifaa vya stationery vinauzwa

Vifaa vya stationery vinauzwa

ikamba1

Senior Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
100
Reaction score
26
Habari wana jamvi,

Napenda kuwatangazia soko la vifaa vya stationery ambayo nimeifunga muda si mrefu
kuna lamination machine, binding machine na vifaa vinginevyo vingi.

Kwa mwenye interest tafadhali ni PM, tuongee biashara/tuendelee na taratibu nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Habari wana jamvi, napenda kuwatangazia soko la vifaa vya stationery ambayo nimeifunga muda si mrefu kuna lamination machine, binding machine, na vifaa vinginevyo vingi..kwa mwenye interest tafadhali ni PM..tuongee biashara/tuendelee na taratibu nyingine.
unapatikana mkoa gani kaka?,check me on pm.
 
Ni matumaini yangu kuwa mko poa na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku.Ndugu zangu samahani nitafuta ream paper A4 iwe rotarim au mondi.pia nahitaji toner original na kwa bei nafuu for photocopy machine 2318
 
hivyo ndo vifaa vya "stationary"?!, nilidhani ni -stationery au kwa kimatumbi"SHAJALA"
 
naomba unisamehe ndugu yangu learning is a process.pia nadhani umenielewa nahitaji nini.
 
Kuna Desktop HP windows xp full set 400,000/-
-HDD 80GB
-RAM 512

HP Inkjet Printer

HP F2280 ALL IN ONE Photo Printer 200,000/-

HP PSC 2355 ALL IN ONE Photo Printer 400,000/-
 

Attachments

  • DESKTOP.jpg
    DESKTOP.jpg
    114.3 KB · Views: 185
All in one desktop ya RAM4GB HDD 500GB Processro dual core 3GHZ nilinunua kwa laki 4 mwaka jana ilikuwa used kama mpya nilitegemea hii uuze hata kwa chini laki 1.5
 
Habari wana jamvi,

Napenda kuwatangazia soko la vifaa vya stationery ambayo nimeifunga muda si mrefu
kuna lamination machine, binding machine na vifaa vinginevyo vingi.

Kwa mwenye interest tafadhali ni PM, tuongee biashara/tuendelee na taratibu nyingine.
Bado vipo?
 
Back
Top Bottom