Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

ni machine aina ya edon ambazo spea zake znaingiliana na king max au dubao. Bado mpya na naiuza kwa sababu ya kukosa mda mzuri wa kutafuta eneo zuri . In perfect condition. price ni 450,000tshs
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada nilikua natazama chanel 5 Leo sa 9 alasiri kipind cha wakilisha Kuna kampuni kinaitwa VIRGIN linakopesha mtaji kuanzia mil 3 Kwa ajili ya kilimo ndani ya miez mi3 unazalisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naanza na list ya massage zilizopo katika jiji la dar kwa ajili ya kupunguza uchovu kama unazijua nyingine endelea... 1.miriam massage masaki 2.signature massage makumbusho 3...
0 Reactions
32 Replies
16K Views
Habari zenu wana JF, me ni mfanyabiashara ambaye nanunua mpunga kwa wakulima then nakoboa na kuuza mchele kwa jumla sasa kama mwezi hv soko limeyumba natafuta mtu ambaye anajua wapi masoko...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Samsung A3 2016 iko sokoni, hali nzuri 16 GB Bei 400,000 Mawasiliano 0652- 396431
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Ofa,ofa,ofa Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya kutotolesha yanapatikana kwa order. Bei ya tray moja ni elfu kumi tu(10,000tsh) ninapatikana Dar es...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
1350 Watt SONY Xplod Bass Speaker, 1300 Watt boschmann Amplifier Price: 500,000/= (TShs). Contacts: 0759212320 DAR ES SALAAM ILALA
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Salaam wadau..nauza mziki wa gari Complete yaani Radio,booster na woofer.Radio ni Kenwood original inayocheza DVD.MP3.MP4 na USB drives...ni soft touch na inadivx.Booster ni ya inches 12 na woofer...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Gari hii inauzwa ni hilux model no rzn147 iko tanga kwa mawasiliano piga no 0752500000
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Tunayo maziwa mazuri sana na halisi ya Ng'ombe ni mazuri kwaajili ya afya ya watoto na watu wazima .....Karibuni ni bei nafuu kabisa MAZIWA FRESH 5 lts (12,000) MTINDI 5lts (14,000) Tupigie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Natafta mshonaji mzuri wa majoho ya mawakili (ADVOCATES GOWN), au kama kuna mtu anafaham wapi yanauzwa mazuri. Bkama kuna mwenye nayo ancheki kwa namba 0719 815018
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama Kichwa hapo juu kinavyo jieleza.. Nauza Bucha ya samaki iliyo kamilikia, ina frizeer ft 4, Meza 3, radio, mzani wa digital na vifaa vyote vinavyo vinavyohitajika kwenye Bucha ya samaki...
2 Reactions
16 Replies
6K Views
Iko Arusha. Ni mpya. Bei 680,000. Mawasiliano 0786817145
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Used #Huawei Y625 5" size, 8MP,2MP cameras, 1GB RAM, 4GB internal, #Inauzwa Tshs 100,000 Used Apple #iPhone 5 4 inch,1GB RAM,16GB internal,8 MP, #Inauzwa Tshs 195,000 Used #Tecno Camon C8 5.5 HD...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye kuwa na taarifa ya au mwenye kuwa nacho naomba anijulishe. Budget Yangu ni laki moja
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wadau nipo hapa Dar es Salaaam natafuta eneo linalofaa kufungua car wash au kama kuna mwenye eneo na angetaka tuingie ubia anifuate Pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama ujumbe unavyojieleza naomben kwa alie dar anichek kwa namba 0752508163 tufanye biashara, RAM iwe ina range 6GB - 8GB
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Wakuu Nimejikakamua sana nimepata 125,000. Nahitaji simujanja iliyonyooka kwa bajeti hiyo (125,000 za awamu ya 5). Ukinipatia Sony Xperia itakuwa vema ingawa pia zingine zakaribishwa.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, kuna viwanja vipo zaidi ya kumi maeneo ya Vikindu. 47 kwa 50 kwa bei ya shilingi Million 2 na maelewano yapo. Kwa mwenye uhitaji karibu PM. Pia 20*20 vipo kwa 1m ..... Nauli ya kutoka...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
HI wana Board, Suzuki Carry inatakiwa. Iwe kwenye hali nzuri sana, namba D Offer 5,000,000/=, inazungumzika call 0715581426
0 Reactions
3 Replies
821 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…