Nahitaji engine ya Lister petter

simon41

Member
Apr 25, 2009
99
225
Habari wanajamii, naulizia kwa my yeyote mwenye kuuza engine za Lister Peter speacial for concrete mixer.
Natanguliza shukrani
 

BinAd

JF-Expert Member
Sep 2, 2016
215
250
Ninayo 3 piston, in very good condition. Engine standard, manual start (handle) call 0746 386 205.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom