Habari wakuu
Nauza laptop yenye sifa hizi
Aina: Hp elitebook 8540w
Operating system: window 8.1 Pro 64-bit
Processor: intel core i5 nvidia, 2.4GHz
System model: HP Elitebook 8540w
RAM:4GB
DISPLAY...
Arisefarms tz ni wauzaji wa miche bora ya miti ya mbao (mitiki). Kwa gharama nafuu.
Mitiki ni mti wa mbao ngumu ambao huvunwa baada ya miaka 15 -20 baada ya kupanda.
Gharama zetu zipo ifyatavyo...
Husika na kichwa cha habari hii hapo juu napangisha nyumba ya vyumba viwili chumba na sebule mahali vilipo ni kimara baruti kwa mguu adi kuifikia nyumba ni dk 15 ila kuna bajaji zinafika adi...
Wakuu kwa yeyote ambae ana smart ambayo bado IPO kwenye hali nzuri.
Napenda iwe bado mpya,kuna MTU nimemuahidi kumnunulia simu mpya lakini bajeti yangu imeishia hapo.
Bajeti:100,000/=
Nipo Dar
Kuelekea sikukuu ya Christmas na Mwaka mpya Itel mobile imeachia simu mbili kali mpya ni S12 na S32 zenye kamera mbili za mbele huku kila kamera ikiwa na kazi yake maalum.
Kamera mbili za mbele...
Salaam,
Kama uzi unavyojieleza nahitaji hapo juu,nahitaji TV (second hand ) lakini iwekatika hali nzuri.
Mwenye nayo and PM au anicheki kwa # 0714515515/0683759230
Ahsante!
Jipatie madera yenye mitandio mikubwa... Jumla ni12000 na reja reja ni 13000. Nipo Ilala mtaa wa Sadan na K/koo mtaa wa Somal.
Nichek 0678361222 /0659469663