Suzuki jimy inahitajika

Suzuki jimy inahitajika

TO2004

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
540
Reaction score
220
Wakuu! Salama,nahitaji suzuki jimmy cc650 namba D,C hata mpya kabisa ambayo haijasajiliwa, kwa yeyote aliyenayo aje hapa na picha pamoja ba bei
 
Wakuu! Salama,nahitaji suzuki jimmy cc650 namba D,C hata mpya kabisa ambayo haijasajiliwa, kwa yeyote aliyenayo aje hapa na picha pamoja ba bei
Ww bajet yako kiasi gani?
 
Mbona gari hizo zipo
Sema mleta uzi huu angeongezea nyama kidogo...
Je anataka manual au auto....
Na angeweka bajet yake pia

Ova
 
Back
Top Bottom