Habari wadau.
Hili ni tractor aina ya Massey Ferguson
Horsepower 255.
Tunakupatia na jembe lake bure ukinunua tractor.
Lipo maeneo ya Bunju. Japo biashara itamuhusisha mtu aliyepo popote...
Je Uliwahi kua na plan ya kujenga Nyumba ukakosa pakuanzia?
Basi usiwe nawasii MA Architecture ni solution.
MA Architecture ni wataalamu wabobezi wa fani ya uchoraji wa ramani za majengo ya aina...
Mimi ni kijana nilie amua kujiajili kwa kuanzisha mradi wa kutengeneza nishati ya mkaa mbadala, mkaa huu unatokana na taka ngumu.Nimeanzisha kiwanda hiki na kushirikisha vijana wenzangu na...
nataka smart TV bei iwe zaidi ya kitonga
Brand ; Samsung au LG , "32
Budget yangu <350
Pesa mfuko wa shati
********UPDATE*******
NIMEONGEZA DAU WAKUU
Budget >400k pesa mfuko wa shati
RevoCom Delivery:
Hellow mwenye shida ya kuekewa Anti Virus anicheki ...15k only
Duration 1 year..Ur welcome
0769509430 whatsup
Jali PC yako,Jali data zako by checking us on 0769509430
ENGEN NI VVTI
IMETEMBEA KILOMITA 130000
GARI HILI HAIJAWAHI KUPATA AJALI,WALA BODY KUPINGWA RANGI.....
VIBALI VYOTE VIKO SAWA YAANI GARI HAIDAIWI.....
GARI INAUZWA MILION 7....
KWA MAWASILIANO...
Heshima kwa waungwana wote. Nimeamua kujenga ka-jumba kangu Morogoro na ningependa kujenga kwa matofali ya kuchoma. Swali - Je Kuna mtu anajua tofali imara za kuchoma zinapatikaneje (kwa...
Katika msimu huu wa senene Victoria Vachino kupitia idara ya Lake v fishmonger wanakuletea Senene kutoka Bukoba kwa bei ya TSh7000/= zinapatikana mkoa wa Dar es Salaam Mbagala zakhem na Kimara...
JE UNAHITAJI WINO WA PRINTER
AU UNATAKA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MANUNUZI YA WINO WA PRINTER YAKO
#Tonercartridgerefill NI SULUHISHO LA MATATIZO YAKO
Do you know you can use your cartridge more...
Natumai mu wazima wote kuna blog ina uzwa ina watembeleaji wa kutosha pia ina program yake kwenye playstore waweza ichekiHAPA aliye na uhitaji anitafte 0713861567 kwa maelezo zaidi
Wana JF ninahitaji miche ya Matunda. Ni sehemu gani dar es salaam au Bagamoyo ninaweza kupata miche mizuri na kwa bei nafuu. Ninahitaji zaidi ya miche 300. Miche ya maembe na mapapai
www.agiza.online ni ecommerce website iliyotengenezwa kwa utalaam wa kiwango cha juu na Kampuni ya Buibui Technologies na ipo sokoni. Ukifika bei tunakubadilishia logo na kuibadilisha domain name...