Habari wadau,
Naitaji gari ya kununua kwa mtu.
Iwe Spacio new model au IST.
Namba D ndio itapewa kipaumbele.
Siitaji dalali, sababu sina pesa ya dalali.
Aliye na gari anitumie meseji kwenye...
Wekeza kwaajiri ya bar na Guest au dispensary nunua nyumba Kwa bei ya kutupa mil. 16 tuu Ina vyumba vitatu vya kulala,sebure jiko,kisima kirefu cha maji,frem za maduka,gypsam na Ina kiwanja...
kutokana na mchezo mchafu unaofanywa na makampuni ya ving'amuzi namaanisha kukatika kwa channel zote pia malipo kuwa ya juu sana vile vile hili swala la kusaidia wananchi TCRA wameshindwa kabisa...
Ipo tabata
Ni nyumba mpya ya kisasa
Ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja master
Bei mil 75 mazungumzo yapo
Kwa aliye serious anichek pm kwa maelezo zaidi
Wakuu heri ya sikukuu ya Noeli,nlikua naulizia bei ya tifali za interlocking kwa sq meter ni kiasi gani?pia ukilinganisha na hizi tofali za kawaida kuna unafuu kwa kiasi gani??nipo dar wakuu.
Kwa yeyote mwenye tatizo la kisukari au kumjua mtu mwenye kisukari awasaliane na namba hii 0716439433 . Imemsaidia saana ndugu yangu alikuwa akatwe mguu lakini amepona kabisaa!! KIZURI KULA NA...
ETERNAL INTERNATIONAL LTD
ETERNAL:
Ni kampuni kutoka nchini China inayojishughulisha na masuala ya AFYA ya binadamu,ikishughulika zaidi na magonjwa sugu na kuboresha kinga ya mwili.
Pia tunatoa...
Mwanamke mguu pendezesha mguu wako kwa viatu bomba vya kiafrika tudumishe utamaduni wetu wazungu wameshaanza kugundua utamu wa asili ya urembo wa kiafrika
Haya hivi hapa unaletewa mpaka mlangoni...
Nahitaji sandals za kimasai kwa bei ya jumla.
Muuzaji tafadhari onyesha bei ya kila bidhaa kama zinapishana bei,pia onyesha kama kuna punguzo special kwa mnunuzi wa bidhaa nyingi.
Ni vizuri pia...
Nauza radio ya gari used,but in good working condition.
Brand ni pioneer:
Ina play Dvd Cd mp4,mp3 n.k ,ina tumia flush na memory card.
Pia utapata na speaker 400W.
Bei ni Tsh. 150,000.
Pia nina...
Ninauza mayai ya kienyeji yanafaa kutotoleshwa pia uwezo wa kusambaza mpaka trey 30 kwa week karibuni sana wanaojali afya zao pamoja na wafanya biashara bei ni sh. 15000/= kwa trey delivered...
Tunapatikana Boko Beach - Tumeamua kuwaletea Art watoto wa mtaani pia photo shoot ya kibabe kila mtu afurahi na family - Zawadi yetu kwa jamii hii #BoxingDay - vitu flani kwa uswahilini hakuna...
Kama tangazo linavyo jieleza hapo juu tuna uza sandals original kwa bei ya jumla na rejareja.. Bei ya rejareja zina anzia 20,000/= hadi 40,000/=... Na bei ya jumla zina anzia 15,000/= hadi...
Habarini za Jioni
Natafuta tender kwenye indtitutions zozote ya kysuply mkaa wa kupikia kwenye mifuko kilo -11 bei 28000 kwa mfuko.kwa kupikia ttu unahitaji robo kilo bila kuongeza chochote