Canter ton 3.5 tons inahitajika

Canter ton 3.5 tons inahitajika

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
8,271
Reaction score
9,116
Mwenye gari iliotajwa hapo juu,
Linahitajika kwa ajili ya kununuliwa, liwe kwenye hali nzuri, linaweza kwenda sehemu yoyote hapa Tanzania bila tatizo lolote.
Bei maelewano
 
Mwenye gari iliotajwa hapo juu,
Linahitajika kwa ajili ya kununuliwa, liwe kwenye hali nzuri, linaweza kwenda sehemu yoyote hapa Tanzania bila tatizo lolote.
Bei maelewano
Kuna mbadala wake tani 3.5 ni Isuzu Elf ipo kwenye hali nzuri yaweza kwenda sehemu yeyote nchini
 
Nipo dar, MBAGALA MAJI MATITU, TUMA namba nikutumie WhatsApp baadae
 
Canter ipi mkuu unahitaji ya mizigo au tiper ya mchanga
 
Biashara za humu Jf ni majanga
Inabidi sasa Tuwe tunapeana marejesho ......ya biashara

Ova
 
Back
Top Bottom