Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mwenye mashine ya kuuzia luku, kulipia maji, vifurushi, nk anitafute... nina ofa ya 200000 cash. Niko mail moja. Piga namba 0719 222 900
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mastech it solution inawatangazia ofa maalumu yenye lengo la kuongeza wigo wa masoko kwenye biashara ndogondogo.Tunatengeneza website nzuri na bora kwa bei nafuu zaid usd 150 gharama za hosting...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Mastech it solution inawatangazia ofa maalumu yenye lengo la kuongeza wigo wa masoko kwenye biashara ndogondogo.Tunatengeneza website nzuri na bora kwa bei nafuu zaid usd 150 gharama za hosting...
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Habari zenu waheshimiwa, Samahani jamani naomba mnitajie makampuni yanayoimport magari used kutoka Japan yenye ofisi zake hapa dar,ninafahamu beforward tu,naomba mengine, asanteni
2 Reactions
13 Replies
1K Views
  • Closed
Wakuu habari za muda huu: Nimerudi tena... Vifuatavyo vipo tayari kwa anayehitaji. Vitu hivi nilikuwa navitumia mwenyewe ila kwa sasa sina matumizi navyo. Navitoa kwa bei iliyo fair kabisa...
2 Reactions
66 Replies
18K Views
Habari wakuu! Kama Kichwa Cha Habari kinavyoeleza Hapo juu,Kama wewe ni Mmiliki na Mfanyabiashra wa Guest house au Lodge!,na Unapenda Kuongeza wateja na kukuza biashara yako Mwaka huu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nauza shade kwa ajili car parking. Lina mita 4 kwa 6 linatosha kwa gari moja. Linafaa kwaa ajili ya kuzuia jua. nilinunua kubwa likabak. Nauza lote lak 3. Nicheck 0713401812
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napika chapati na vitumbua kwa order. Kuanzia idadi ya kumi na kuendelea. Nitafute 0755840431.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Miche ya migomba aina ya Kisukari, Bukoba, Mzuzu, Mkono wa Tembo, nk., inapatikana Goba, karibu na Shule ya Sekondari ya St. Joseph Millenieum. Kwa maulizo piga namba ifuatayo: +255 754 367650...
1 Reactions
1 Replies
814 Views
Kwa anayehitaji mbolea ya kinyesi cha kuku kutoka banda la kuku anicheki... Ipo mifuko takribani kumi ya kilo hamsini hamsini... Bei ni elfu tatu (3,000/=) kwa kiroba/mfuko. Niko maeneo ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wasalaam wakuu! Nahitaji kubadilishana gari na mtu mwenye uhitaji huo, mimi nina; Toyota Crown Mileage 75000/>Colour:Mwaka 2005 silver<br />Insuarance comprehensive<br />imelipiwa kila...
1 Reactions
1 Replies
563 Views
Wadau,kwa yeyote anayefahamu ni wapi kwa Dsm wananunua minofu ya sangara(fillet) na bei zikoje kwa kg? Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Mimi ni mkulima wa matunda ya strawberry kutoka Morogoro.. Nauza kuanzia containers 15@4000...kwa bei ya jumla .na 5000kwa bei ya rejareja!ukitoa oda ndo naenda shambani.. Matunda...
10 Reactions
47 Replies
18K Views
Kwaajili Ya Dukani ni Used bei 55,000 kwa Moja.. Lakini Mazungumzo yapo Ni PM kwa Zaidi
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi salamu! Mimi ni mfugaji mdogo, nipo Morogoro. Naanza kwa kumtambulisha Sasso kwa ufupi; Sasso ni kuku chotara wa nyama asili yake ufaransa, na hutokana na jamii ya broiler. Ni kuku...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
*NIKISEMA OFFER NINAMAANISHA OFFER!!* 1. *Pata blog kali kwa Tsh 15,000 tuu! Mf wa blog www.slaustec.com, www.unizoneafrica.com* 2. *Pata App ya blog kwa Tsh 10,000 tuu. Kuona mfano wa app...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Poleni na majukumu, Ndugu zanguni wana JamiiForums naombeni kujua bei ya alizeti huko mikoani mwenu maana nimeweka alizeti stoo naona mbona inachelewa kupanda.
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Hello guys... Naombeni msaada kwa mtu anayefanya biashara kati ya Zambia na Tanzania au kati Rwanda and Tanzania.. Nahitaji kuanza biashara january kati ya nchi hizo mbili .. Shida yangu ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nmepokea mzigo kutoka UK nauza.. Tv aina ya SEIKI inch 55.. Bei ni 1200,000 SONY home theater complete 320,000 Soundbar aina ya BUSH Original 200,000 hii ni spika moja ndogo ya kulala na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…