Tunazo tv za kila aina na size zote zipo
Tunapatikana kkoo msimbaz na China Plaza FL ya pili ukiagza tunakuletea ulipo mda wowote sisi ni huduma kwanza malipo baadae free delivery boss led tv...
Habari!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza! Inahitajika Ofisi yenye uwezo wa ku-accomodate watu 30+ na eneo la Warehouse (Godown).. Viwe sehemu moja! Mitaa pendekezi ni kuanzia Mikocheni hadi...
Wadau nauza suzuki swift ikiwa katika hali nzuri sana gari ina ac inayofanya kazi zr...baridi kama uko urusi engine haijawahi kufunguliwa automatic gear milango mitano
km 121,300 haijawahi kupata...
Nauza samsung galaxy j7 prime simu sawa na mpya cjaitumia sanaa..
Internal storage yake ni 32 gb.
Ipo poa kila kitu..
Bei 400000..
Finger print sensor pia ipo vizuri kabisa
Nichek kwa izi namba...
Tunazo bakery machines kuanzia tray moja mpaka tray nne za umeme na za gase
Tunapatikana kkoo msimbaz na China Plaza FL ya pili ukiagza tunakuletea ulipo mda wowote sisi ni huduma kwanza malipo...
Paua na jmk royal services
Agent wamabati ya sunshare(agent noA-002)VIP,quansheing,Anxifa bati kwa price list ya kiwanda.
huduma tutoazo kwa wateja wetu.
-Bati za aina zote kwa price list ya...
Nauza samsung j7 prime simu sawa na mpya cjaitumia sanaa
Internal storage 32 gb
Ipo poa kila kitu..
Finger print ipo safi pia.
Bei 400000 tyuu.
Nichek kwa izi namba 0716026555 na 0685 436 107
*Mzigo una mwezi tokea niununue, ni toleo jipya kabisa la Tecno Mobile
*sababu za kuuza ni matatizo yangu binafsi
*rangi yake_ blue_ flat shape
*finger touch sensor
*bila kusahau receipt na...
Eneo la kufugia lenye banda kubwa la design ya mabanzi na mabati,umeme wa solar na Maji ya kupump tayari kwenye tank la 5000ltr lipo tayari kwa kukodishwa kwa kodi ya 350,000 kwa mwezi au kuuzwa...
Kwa wale wanaopenda kuku nina majogoo saba machotara nawauza kila mmoja 25000 niko kibamba kwa mangi wanafaa kwa kuliwa a kufugwa wana kilo mbili na nusu kila mmoja karibuni 0765114158
Ilianza kama majaribio, Ila watu wameipokea vizuri. Biashara Network ina dalili za kuwa mtandao mkubwa Tanzania Unaokutanisha watu, Biashara na Wateja pamoja, Kujifunza na kushiriki vitu...