Toyota premio new model rangi nyeusi.

Toyota premio new model rangi nyeusi.

Landcruser

Senior Member
Joined
Mar 24, 2017
Posts
179
Reaction score
344
Ninahitaji gari tajwa hapo juu. Yaweza kuwa namba C au D. Kama unayo nzima kabisa tuwasiliane. Bei tutaelewana tu.
 
Ninahitaji gari tajwa hapo juu. Yaweza kuwa namba C au D. Kama unayo nzima kabisa tuwasiliane. Bei tutaelewana tu.
Kuna premio ya mwaka 2004 n'a 2007(hii ndy toleo jipya kwa sasa)
Wee unataka ya mwaka gani hapo

Ova
 
Ipo number c
White colour
1516828833969.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom