TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Kwa mahitaji ya Nyumba za kupanga kununu, kuuza, viwanja mashamba n.k
Dar es Salaam
Usisite wasiliana nasi @
07850074040,
0767074040,
0714074040.
Karibu sanaaaa
Pata mbegu nzuri ya kitunguu red bombay ambayo inafanya vizuri gunia 70 mpaka 90 Kwa heka gulingana na huduma.
Mawasiliano 0763370175 Vodacom
0676370175 Tigo
Habari wakuu.
Mimi ni mtaalam wa kupika vitafunwa (snacks and bites) yaani karibu vyote vinavyopatikana hoteli za kitanzania. Nataka kujiajiri rasmi.
Sasa natafuta partner atakayeweza kukodi frem...
Website is heart of any business
Without website business will not survive in digital world
Get your business website today from us at Very affordable price with a FREE .tz domain name
- Hosting
-...
Wapendwa nimetoa hii post Mara kadhaa nawakumbusha tena kuwa tunatoa huduma hiyo kwa ubora wa khari ya juu popote ulipo pia tunaomba tenda ya mwaka na kuendelea kadri utapotuitaji tunapatika hapa...
Tunazo tv za kila aina karibuni wote tunapatikana kkoo msimbaz na China Plaza FL ya pili ukiagza tunakuletea ulipo mda wowote sisi ni huduma kwanza malipo baadae free delivery
Contact :0714417739...
PAUA NA JMK ROYAL SERVICES
Agent wamabati ya sunshare(agent noA-002)VIP,quansheing,Anxifa bati kwa price list ya kiwanda.
huduma tutoazo kwa wateja wetu.
-Bati za aina zote kwa price list ya...
Nahitaji laini ya tigo pesa
Habari nahitaji laini ya tigo pesa kama unayo basi tuwasiliane japo hakikisha una document zote ulizosajilia. 0756587380
Niko DSM
Radio
Spika
Majiko
Feni
Taa
Pasi
Ulizia kitu ambacho hujakiona hapo, bei zilizobqmdikwa ni za jumla ukitaka 1 utaongeza pesa kidogo tu.
Karibuni sana 0625547181
Habari zenu wakuu. Natafuta mashine ya kupigia matofali ya interlocking. Vile vile kama kuna mtu anafahamu bei zake naomba anifahamishe.
Nawatakia siku njema.
kama tangazo linavyoonesha mwenye kuuza Mac Book pro I core 7 ,iliyo katika hali nzuri
anitafute bei iwe nzuri awe 4GB RAM ,HDD 500
Ahsante nawasilisha
Habari wanajamvi nadhan ntakua sijakosea kuleta huu Uzi huku ila kama nmekosea basi modes mtanisaidia kupeleja sehemu husika. Mimi ni muhandishi wa vitabu chipukizi. Kwakushirikana na waandishi...
Habari,
Natafuta Dell Latitude E7270 iwe ni mpya au mtumba naomba uweke specification za chombo hicho ulichonacho (Dell tajwa), bei na eneo na Mawasiliana.
Mie nipo Morogoro.
asante.
Habarini ndugu wapendwa,kama mwana jf nimekua nikisikitika na kustaajabika sana kwa hii biashara ya simu za mikononi humu Jf
Wengi wamekua ni matapeli na kuwauzia watu simu mbovu kwa kisingizio...