Bati za msouth na fundi wa kupaua

Bati za msouth na fundi wa kupaua

JMK ROYAL SERVICES

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
226
Reaction score
83
PAUA NA JMK ROYAL SERVICES
f0dc89634b16c66212a8ce19ac8f930e.jpg

Agent wamabati ya sunshare(agent noA-002)VIP,quansheing,Anxifa bati kwa price list ya kiwanda.
178ab9d3ed42a7fda7eca21c2a43549f.jpg

huduma tutoazo kwa wateja wetu.

-Bati za aina zote kwa price list ya kiwanda
033008b38b3dee7699eeafc609beb582.jpg

-ushauri wa uchaguzi wa bati
d035ab67e605b0c0363b9a5c32221a3e.jpg
7ca959fa594dd43acba84f7fef698200.jpg

-Kukatiwa bati kwa vipimo vya paa lako
85d48665d5c89d5e7efa85a682c734fe.jpg
fc82505492cd83002708a4c15eaf5fc6.jpg

-fundi wa kupaua (kwa makubaliano wa bei)
6fd54abc1094443f612b0ab5ab7a10ac.jpg
7d2e9296b9bc2edcd01461b3046032af.jpg
a617e8d40b1f2a347b2a84e9ae5e8039.jpg
be674e05cb550cfff10565d6002dac5e.jpg

-Tathimini na upimaji wa idadi wa bati na mbao kwa vipimo(kwa makubaliano ya bei)
964a37ccf00e9c21adde138e5eac413d.jpg
cb9dfbdd455931e7aba8ed2e01ef414d.jpg
20b606a73ff80954e08d1761f58615b5.jpg

-fundi mwenye cheti cha veta GRADE ONE na experience ya zaidi ya miaka 10 kwenye upauaji.
0e60d114d7a54689709b775d44a903be.jpg
90d4316d489155bff252d654bbf10837.jpg

Tupo mikocheni pembeni ya mayfaiplaza Dar es salaam.

piga.[emoji338][emoji338] 0719552613, 0762552586
 
Kwa nini hizi bati mnaziita 'msouth'
material inatoka uko souzi ikiwa 'rolled coil' (ikiwa na rangi nzuri nzuri) , ikija bongo hufikia ALAF au Sun Share, hawa wanaweka migongo(roll forming and pitching) na kuyakata katika vipimo tajwa na kuyauza, over!

izi zingine za pata sote, material hutoka japan, (zikiwa coiled pia) ila kwa bei ndogo ya kutupa ndio maana ata bei ya finished product iko rafiki...
 
Hebu nitofautishie grade katika ubora.... Yani nini kipo katika hizo grade zinazofanya utofauti
 
Naomba bei zake na makadirio ya nyumba ya kawaida vyumba vitatu,sebule,dining,jiko
 
Back
Top Bottom