Nauza viwanja eneo la Kisemvule, tunakata viwanjabkwa ukubwa unao taka, hakuna dalali.
Eneo lipo karibu na barabara kuu iendayo Kilwa, umeme upo karibu kabisa, maji yapo karibu, shile ya...
Wadau nilinunua hii mashine mwaka jana mwezi wa 11 hivyo bado mpya ina milango 8 na master,shilingi 600,000/=,kinachonisababisha kuuza ni kukosa usimamizi wa biashara niliyotaka kuifanya...
Mzazi pamoja na mwanafunzi aliemaliza form four unakumbushwa kuwatafta hawa walimu maarufu pale mwanza kwa tuition za maandalizi ya kidato cha tano.
Mwl Mkandawille ni maarufu kwa chemistry namba...
Nauza Metal feni iliyotumika muda mfupi, infaa kwa matumizi ya kumbi za mpira, baa, club, kanisani na sehemu kama hizo. Bei ni 120,000. Tsh. Ni inbox nikuuzie.
Nauza feni yenye material ya chuma. Inafaa sana kwa wenye sehemu za kuonyeonyeshea Mpira, makabisani, bar na sehemu zenye mikusanyiko ya watu. Bei Tsh 90,000.
Wakuu kwema, nimepata mtaji kidogo na kwa utafiti wangu nimeamua nifungue kiwanda kidogo cha kukamua mafuta ya alizeti na chakula cha kuku toka kwenye mashudu.
Sasa naombeni wenye uzoefu na hii...
We deal with
>injector pumps and injector nozzle repair
>engine overhaul and all engine problems
>car painting
>car parts suppliers
>car diagnosis
>LOCATION
Tabata magengeni opp CRDB bank...
MILIKI BLOG YAKO SASA
[emoji117]Tunatengeneza blog za kisasa kwa bei poa tsh 12,000/-
[emoji117]Tunatengeneza youtube channel tsh 15,000/-
Wahi kabra ofa aijaishaaaaaaaa
Call...
Habari wakuu.
Nahitaji gari ya IST namba ianzie D na kilometa zisizozidi 100,000. Gari isiwe na tatizo lolote lile. Vibali vyote viwepo.
Bajeti yangu ni Milioni 7 cash. Nipo Mbezi beach...
Wakuu Nawasalimu
Kama nilivyo ainisha hapo juu, nahitaji piki piki kwaajili ya shughuli zangu za kilimo na Ufigaji.
Kilingana na eneo ninalofunyia shughuli hizi kua mbali na makzi yangu...
Habari za majukumu waungwana?
Natafuta chumba kimoja tu cha kupanga maeneo ya ubungo plaza kwa bei ya 50,000-80,000 kisiwe mbali na barabara ya kuelekea city centre.
Mwenye nacho ani PM!