Viwanja bila dalali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja bila dalali

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kisemvule1, Feb 3, 2018.

 1. K

  Kisemvule1 New Member

  #1
  Feb 3, 2018
  Joined: Feb 1, 2018
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nauza viwanja eneo la Kisemvule, tunakata viwanjabkwa ukubwa unao taka, hakuna dalali.
  Eneo lipo karibu na barabara kuu iendayo Kilwa, umeme upo karibu kabisa, maji yapo karibu, shile ya sekondary, Kanisa Katoliki na Hosptal kubwa ya Kanisa Katoliki, pia na chuo cha ualimu
  Eneo unafika na gari mpaka kwenye kiwanja pia kuna route za dalala mpaka Kariakoo na Ferry kwa Tsh 700 tuu.
  Bei ni maelewano kulingana na eneo unalo chagua na ukubwa.
  Pia eneo linafaa kwa kiwanda ama ufugaji au godown
  0715151977 Titus
   

  Attached Files:

 2. n

  nsereko m JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2018
  Joined: Jul 28, 2015
  Messages: 3,086
  Likes Received: 2,134
  Trophy Points: 280
 3. Mhandisi Mzalendo

  Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2018
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 3,042
  Likes Received: 2,047
  Trophy Points: 280
  Unauza kanisa?
   
 4. stickvibration

  stickvibration JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2018
  Joined: Feb 7, 2017
  Messages: 2,414
  Likes Received: 3,539
  Trophy Points: 280
  ndiomaana kasema hamna dalali
   
 5. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2018
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,454
  Likes Received: 2,436
  Trophy Points: 280
  Hahahaahahaaah
   
 6. kenzi

  kenzi JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2018
  Joined: Oct 19, 2015
  Messages: 348
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 80
  C utoe mfano wa ukubwa wa kiwanja ni bei flani
   
 7. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2018
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,904
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Biashara ndefu za kuanza kuulizana bei inbox , sio kabisa!
   
 8. impongo

  impongo JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2018
  Joined: Feb 18, 2015
  Messages: 3,843
  Likes Received: 2,029
  Trophy Points: 280
  Hhhhhhh Jf ina mambo
   
 9. K

  Kisemvule1 New Member

  #9
  Feb 3, 2018
  Joined: Feb 1, 2018
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hapana Siuzi kanisa hahahaha. Ninauza viwanja vya ukubwa kutokakana na matakwa ya mtu. Hata mtu akihitaji eneo lote kwa matumizi yake binafsi pia tunaweza kukaa chini na kuelewana.

  Kikubwa ni kujua mazingira husika na kufika kwako kutakupa picha halisi ya nini unahitaji kulingana na matakwa yako.

  Nimetoa maelezo hapo juu ili kuweka ufahamu kuwa upatikanaji wa huduma za jamii kama hospitali, shule, barabara na nyumba za kuabudu zipo karibu.

  Ni sehemu nzuri. Kwa zaidi piga 0715151977 au 0769186942.

  Asante.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...