Computer/Laptop Yako inasumbua?
Wasiliana na team nzima ya JIMZ Technologies Co. Ltd wakutengenezee computer/laptop yako Sasa! S
Tunapatikana Kituo cha Msamvu, Morogoro. Tupigie Sasa kwa...
Wasaalam wanabod, nnaomba kwa mwenye mawaziliano/ namba za simu za kampuni ya usafirishaj mizigo kutoka au kupitia Nyakanazi kwenda Dar es salaam anisaidie. Natanguliza shkrani
Habari ndugu wana jamii..
Kuna viwanja vinatangazwa sana Huko kigambini Mwasonga.. Kama unaelekea Dar Zoo
Bei wanasema ni 2500/ = kwa sqm..
Yaan 20*30 ambayo ni 600sqm wanauza kwa 1.5milion...
Habari yenu wana jamvi.
Napenda kuitambulisha kwenu huduma ya "delivery" itolewayo na P2P Delivery Services. Kama umenunua bidhaa iwe ni nguo, mafuta, viatu, vipodozi na kadhalika na hauna muda wa...
Hii simu nimeinunua mpya hata wiki mbili hazijaisha ila nmepata emergence I need the cash.
Ipo kwenye very good condition, Kila kitu chake kipo mpaka warrant seal. Napatikana Dar es Salaam, kama...
Noah iliyotunzwa vizuri inauzwa kwa bei nzuri,nyaraka za umiliki zote zipo.
AINA YA GARI:Toyota noah
LOCATION; Dar es salaam
REG NO; T 764 CTF
BEI; 11.7million (Maongezi yapo)
MAWASILIANO; 0719308160
Natafuta sehemu ambayo ntaweza ku chapisha vitabu ila iwe kwa bei nafuu. Anayejua aniambie kwa ni bei gan kwa kurasa moja, na nakala ngap wanaanzia? Ipo sehemi gan hapa dar. Tafadhal
HABARI,
AFYA NI UTAJIRI.
ETERNAL INTERNATIONAL LTD
Ni kliniki inayojishughulisha na masuala ya AFYA ya binadamu,ikishughulika zaidi na magonjwa sugu na kuboresha kinga ya mwili.
Pia tunatoa...
HI THERE!
Kama kawaida method mpya za free internet zinaongezeka sasa nimekuja ni free internet yenye kasi zaidi ya ile ya mwanzo
Hii itawafaa sana wale watumiaji wa pc wanaopenda kushusha...
Tafadhali wadau naomba mnisaidie wenye uzoefu na huu mradi
napenda kujua mambo ya fuatayo
1:Bei za mashine za Manual 4sreens ikiwa complete
2:Bei ya matishirt kwa jumla jumla..ni bei gan na...
HABARI ZA ASUBUHI, AMKA NASI NA UJENZI. USIKARIBISHE MAJAMBAZI KWENYE UJENZI WAKO, NA WALA USIKATISHE MAJUKUMU MENGINE ETI KISA UNAENDA DUKANI. INGIA KWENYE KOMPYUTA POPOTE ULIPO NA UNUNUE...