Wadau tunasafari ya kaskazini kutembelea vivutio vyetu Na pia kuinjoy utalii wa Tanzania.
Pls join us ni Tarehe 9-12 Dec 2016.
Tutatembelea Tarangire Na Ngorongoro Crater.
Mchango. Wanafunzi...
hiii....
Youtube channel inahitajika faster kwa anaye uza.
contact via watsapp. 0756407026.
VIGEZO.
Iwe conected na adsence account.
Isiwe na copyright contents.
pia isiwe na Community...
Kwa miaka mingi nimekuwa nikihangaika na mafundi wa Solar systems bila mafanikio .Mpaka sasa nimefikia hatua ya kuamini kwamba hapa nchini hatuna mafundi wabobezi wa Solar Systems kabisa...
Natafuta PC iwe na uwezo mkubwa, graphics card ya maana
HDD 500
Ram 4
Core i5
processor 8
good condition,
Bettry life 6 hours
Appearance nzuri, iwe nyembamba, iwe mpya, iwe na chaji yake na pad...
Kitanda cha CHUMA kizuri,kimetumika kidogo sana na GODORO lake vyote kwa pamoja vinauzwa jumla 200,000. Viko tegeta DSM.Mawasiliano - piga,SMS au whatsapp 0628-796778 au 0628-615685
Habari za humu wakuu,nahitaji msaada wa mtu anayefanya shughuli ya kutafuta masoko ya mazao ya Karanga na Paprika.Malipo tutakubaliana nahitaji mtu serious Sio mbabaishaji
Mambo vip wana jf je una biashara yako? na unapenda kuitangaza kupitia blog au web site usiogope kutana na mzizimpya akutengenezee blog ya bei rahisi kabisa ni shilingi 5000 tu pitia blog yangu...
Kwnza kabisa nijukum langu kua salim ,,wana jf habari zenu?,, pia napenda kuwa tangazia wakulima Wa vitunguu yakwamba Nina mbegu bora ya vitunguu Nauza Bei safi kabisa, KW mawasiliano Mp or...
Wadau Kwema??
Nina shida moja, nahitaji ku-transfer kiasi fulani (Arround Tshs 50,000 - Tshs 200,000) nje ya nchi ili huyo atakaepokea anitumie mzigo fulani hivi online. Shida ni kwamba Supplier...
Waheshimiwa,
Nisaidieni wapi naweza kupata gauni zuri la harusi (hasa yale za kihindi) ila yawe na stara ya kulandana na imani ya Kiislam.
Kwa uwezo wangu naomba iwe kati ya elfu 50 hadi elfu...