Natafuta soko la mazao

Natafuta soko la mazao

454

Senior Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
136
Reaction score
193
Habari za humu wakuu,nahitaji msaada wa mtu anayefanya shughuli ya kutafuta masoko ya mazao ya Karanga na Paprika.Malipo tutakubaliana nahitaji mtu serious Sio mbabaishaji
 
Paprika ni zao gani ndugu!
Bila uhenga vitu vingene ni ngumu kuvielewa
 
Back
Top Bottom