Habari zenu Wakuu
Poleni na majukumu ya Kujenga nchi.
Kwenye thread hii utaweza kujipatia viatu vya kisasa kwa wanaume na nguo pia za kisasa. Kama utapenda chochote tafadhali tupigie simu...
Habari wakuu
Kuna haka ka kitu kapo fb na pia play store wana app inaitwa credit fund.. Wanasema wao wanatoa Mikopo,,unaweka akiba then ndo unakopa...
Nilikua naomba kujua anae wafahamu hawa...
Nauza dagaa wanafaa kwa chakula cha kuku
Nili ziagiza kwa matumizi ya nyumbani lakini zime kuja tofauti ziko low quality haziku andaliwa vizuri zipo ndoo mbili kubwa tu nipo maeneo ya banana
habari wadau, nahitaji kiwanja chenye vibali vyote kwa mjibu wa sheria kwa bei inayoanzia na 1.5 mil hadi 2mil kiwe dsm. kipaumbele ni kimara, mbezi, na maeneo mengine yanayokuwa kwa kasi.
mwenye...
*BRAND NEW SAMSUNG S7 EARPHONES IN TOWN*
Jipatie sasa earphones bora za samsung s7 kwa bei nafuu sana
Kwasasa mzigo unapatikana DAR ES SALAAM, DODOMA na ARUSHA kwa shilingi 5500 tu.
NB: Soon...
Habarini wandugu, nakaribisha wadau wote wenye interest ya kujua au kuhitaji vifaa vyovyote vile vinavyohusiana na Usindikaji wa chakula, packaging, catering equipments, matumizi yake na wenye...
Kama uzi huu unavyojieleza, natafta eneo lenye muingiliano wa watu kwaajiri ya kuweka tigo pesa,
Ikiwa pia unaeneo lako la kaz mf duka,bar,hotel nk na unaona nikiweka hiyo tigopesa...
Mimi ni mkatoliki Nina duka Katavi wateja wanakuja kila siku kukiulizia hiki
kilichoandikwa na Emmiliana Kondowe sijui nikipate wapi kwa wingi ili niuze,mwenye uelewa tafadhali niPM
Kitabu kinapatikana duka la TPH lilipo Samora kwa bei ya Tsh 20000.
Pia unaweza kuagiza ukaletewa.
==========================
The book is available at TPH Bookshop located in Samora Avenue Dar es...
Pata huduma ya ku unlock I Phone yako ambayo ipo na I cloud
Huduma ni ndani ya masaa 24 hadi siku 5 kulingana na complexity ya simu yako
Tunapokea simu za aina zote Clean na Blacklisted marked...
Wana Jamiiforums naomba wenye kujua mshereheshaji (MC) awe wa kike au kiume ambaye yuko mahiri katika fani hiyo kabila lake awe ni MPARE halisi naomba ani PM. Haijalishi yuko sehemu gani ndani ya...
Nb. Sishughuliki na tatizo la kuongeza nguvu za kiume.
Hapa nawahitaji wanandoa wanaowahi kufika kileleni na kuwaacha wenzi wao hawajaridhika, kujeni inbox niwapatie utatuzi wa shida hii.
Gharama...
Amani kwenu wadau,
mwenye setup ya metfone dashbord inayo support modem za zte / vodafone naomba anisaidie link au setup yenyewe.
Nime google sana, lakini sijapata link inayofanya kazi zote ni...
INAHITAJIKA HARAKA
YENYE SPECIFICATIONS ZIFUATAZO:
INPUT: 100-240 VAC
0.7A
OUTPUT : +15 1.7 A
50/60 Hz
( NAIHITAJI HARAKA SANA KAMA UPO DAR TUWASILIANE)
Wasalaam
Kiwanja kilichopimwa kinauzwa ,kiko NYEBURU Mita 800 kutoka barabara kuu ya lami kituo cha Italian (ukielekea Chanika upande wa kulia)
SIFA ZAKE;kimepimwa kwa uzito wa chin LOW DENSITY...