Kiwanja chanika bwaja dakika 5 kutoka barabara kuu.
Ukubwa heka 1 na nusu
Hakina udalali
Bei mil.20 tu.
Kiwanja kipo eneo tambarare na zuri unaweza ukakitumia pia kama shamba.
Piga 0629992942
Mkuu polisi kituo cha polisi bomangombe Hai, ana matatizo makubwa ya kiutendaji na tunamuomba IGP atusaidie kumhamisha na afanyiwe uchunguzi. Ni mpokea rushwa mkubwa,ni mbinafsi,na anaendeleza...
Samsung A5
GB 16 + GB 16 {M.card) GB 32
RAM 2GB
4G network
Screen Protector + Cover (OG)
Ina picha kali sana camera zote mbili
BEI YA OFFER - 350,000/=
DAR 0764 876 888
Now you can have a Complete website which is Responsive site compatible to all devices, mobile friendly site, Easy to Navigate, Search Engine Friendly, Full optimized site for business or personal...
Ndugu wadau wa ujenzi, mimi ni kijana mtanzania mwenye uzoefu wa Waterproofing aina zote kuanzia:-
Water Reservoir
Balcony
Canopy
Swimming pools
Basements.
Epoxy za Industrial
Car park
Hospitals...
Habarini wanajukwaa, naomba niende kwenye point moja kwamoja bila kuwachosha mimi nikijana mtafutaji elimu yangu nikidato cha4 lengo lakuuweka huu uzi natafuta mkoa au wilaya yoyote ile ambayo...
Habari Jf
Shukrani Njema Zimuendee Aliyeumba Hii Dunia Na Mbingu Na Vyote Vilivyomo Ndani Ni Mwenyezi Mungu Mola Mlezi Wa Walimwengu, Hakika Mwenyezi Mungu Ameumba Miti Ili iwe Tiba Kwetu Ivo Bac...
Katika Dunia ya sasa, kuwa na Website si jambo a kujiuliza mara mbili, mfanya biashara yoyote aliye makini na biashara yake ni lazima awe na Website. Kuwa na Website siyo tu kutakufanya kuwafikia...
Kwa anayehitaji software ya payroll system anipigia kupitia namba 0788252999 au 0713705543.Mfumo niliotengeneza unakata kodi(PAYE) kulingana na sheria ya kodi ya mwaka 2017.Mfumo ni mzuri...
Kuku shop ni wauzaji wa KUKU aina ya kuroiler.
Bei zetu ni sawa na bure kabisa...
Bei ya mtetea mmoja ni elfu kumi na tano (TZsh 15,000/=)
Bei ya jogoo mmoja ni elfu kumi na nane (TZsh 18,000/=)...
Wakuu nawasalimu,
Nina asali mbichi kutoka pande za tabora natafuta sehemu ambayo ninaweza kupata soko la uhakika pande za Dar.Kama wewe ni mnunuaji au unafahamu wanakonunua kwa kiasi kikubwa...