Craig Natson
Member
- Jul 3, 2013
- 80
- 49
Deal done
Kama unacho cha Azam niambieNahitaji kingamuzi model ile ya zamani.
SIFA
Kiwe kimeandikwa 'T2' kwa mbele pembeni ya mlango wa kuweka kadi.
Offer yako!? Iko full dish and remoteKama unacho cha Azam niambie
Nahitaji pia na mm! Niko mwanza! Mwenye nacho anipm plzNahitaji kingamuzi model ile ya zamani.
SIFA
Kiwe kimeandikwa 'T2' kwa mbele pembeni ya mlango wa kuweka kadi.
Mimi nataka mwenye cha dish cha azam niko darOffer yako!? Iko full dish and remote
Nahitaji pia na mm! Niko mwanza! Mwenye nacho anipm plz
Ninacho kipya pamoja na dish nimekinunua mwezi January.Offer yako ngapi?Nahitaji kingamuzi model ile ya zamani.
SIFA
Kiwe kimeandikwa 'T2' kwa mbele pembeni ya mlango wa kuweka kadi.
Cha star times?Ninacho kipya pamoja na dish nimekinunua mwezi January.Offer yako ngapi?
25,000/=Taja ofa yako basi