Kibogoyo2018
Member
- Feb 10, 2018
- 6
- 0
Mkuu polisi kituo cha polisi bomangombe Hai, ana matatizo makubwa ya kiutendaji na tunamuomba IGP atusaidie kumhamisha na afanyiwe uchunguzi. Ni mpokea rushwa mkubwa,ni mbinafsi,na anaendeleza majungu ndani ya jeshi LA polisi. Yapo matukio mengi anayafanya ya kiutendaji bila viongozi wake kujua au kuwajulisha. JF imejaribu kufuatilia imegundua amekaa kituo cha Hai, kama mkuu wa kituo kwa zaidi ya miaka kumi. Tunamuomb IGP kufuatilia kilio cha wananchi was Hai. Kituo cha polisi amekifanya kama nyumbani kwake. Ili kufunguliwa jalada au kesi lazima upitie kwake na utoe kituo kidogo.polisi walioko chini take anawanyanyasa sana hata hamu ya kufsnya kazi imepungua.