Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wateja wangu karibuni tupo Uhuru Plaza kupitia sisi utajipatia simu bei za viwandani yaani bei ya chini mnooo. Tuna simu mpya na used kwaajili yako kuanzia simu za vitochi mpaka smartphone...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Eneo linaukubwa wa 33,260sqm. Eneo lina hati ya mradi wa shule/taasisi. Kuna majengo ya madarasa ma4 na ofisi 4 na nyumba ya vyumba vitatu Eneo lipo mtaa wa Pinda, Dodoma mjini. Bei ni Tsh...
0 Reactions
1 Replies
333 Views
Hello Tech Members.. Hope mpo poa wakuu,kwa mda mrefu nilitamani kuwepo na uzi ambao Web developers tuta share tulichonacho kwa wenzetu ambao wanaanza safari Yao ya Programming au wanaotaka...
22 Reactions
89 Replies
24K Views
Wakuu, natafuta mabingwa wa kupiga rangi body ya gari irudi kwenye upya wake kama ndo imetoka japani Leo. Wapi nitawapata? Gharama siyo issue ila ubora ndiyo nautazama. Msaada tafadhali
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Wadau mgomo wa usafiri umenichosha leo nimepoteza dili la mil 10,sasa natafuta mtu mwenye gari anashida anataka kuliuza mm nanunua ila iwe chini ya mil 2.5 nawakilisha kwenu ambaye yupo tayari...
2 Reactions
55 Replies
10K Views
Wadau nimetembelea miguu nimechoka kwa uwezo wangu nahitaji mwenye gari kuanzia milion 2 kurudi chini kama yupo mtu anauza nipm
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Ninahitaj nyumba yenye chumba na sebule maeneo ya either Mbezi beach, Kawe au Msasani. Please haraka 078866506
0 Reactions
4 Replies
943 Views
*Kiwanja goba tegeta A Kiwanja kizuri kikubwa bei kitonga .. Kiwanja kipo goba tegeta A kwa madawa karibu na kanisa katoliki Ukubwa ni sqm 1196 Unaweza kujenga nyumba ya ndoto yako hapa...
0 Reactions
5 Replies
439 Views
Kiwanja hakijapimwa ila kipo surveyd, kina ukubwa wa 1500sqm+. Kipo karibu na shamba litakalo jengwa shule ya feza kigamboni. Kinataka 30ML. Zingatia kutoka barabara ya kibada mwasonga ni 450m...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
KUAMKA KIROHO NI mchakato wa kuamka kutoka kwenye giza ( ujinga) na kutembea kwenye mwanga baada ya kufunguliwa kwa lock zilizoshikilia akili yako ili utembee kwenye Nuru. Kwenye Giza la kiroho...
1 Reactions
3 Replies
659 Views
TANGAZO LA BIASHARA Unauza Viatu au Una Dukayaani? TWIGA ni Bidhaa Unayohitaji! Tunawakaribisha wauzaji wa rejareja wenye maduka ya viatu, au maduka ya jumla kununua kwa bei rafiki bidhaa yetu...
0 Reactions
1 Replies
408 Views
Wakuu, Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone. Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau navutiwa sana na gari aina ya Honda crossroad mwenye kuijua kiundani aniambie kabla sijafanya maamuzi ya kuiagizia
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mashine ya juice ya miwa inayotumia umeme na mafuta inauzwa Bei 850,000 WhatsApp no.0686298896 Location.dodoma
1 Reactions
0 Replies
337 Views
Nauza water heater brand ya Ariston ni kubwa na imara. Hii ilifingwa bafuni lkn sijawahi tumia kwa kutofikiwa na huduma ya maji ya dawasco nimeona niitoe niuze. Lete OFA Yako nikusikilize...
0 Reactions
11 Replies
704 Views
Nyumba ina vyumba 3 vya Kulala, Sebule dinning, jiko, Choo ndani. —Tshs 500,000/- — Maelezo zaidi 0716442950
0 Reactions
1 Replies
423 Views
UNANUNUA VITU CHINA? TUNAKUSAIDIA KUVILETA HADI BONGO HARAKA NA RAHISI – PM TRADING & LOGISTICS 🛫📦 Habari wana JF, Sasa hauhitaji kuwa mfanyabiashara mkubwa ili uweze kununua bidhaa zako kutoka...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
• Kulingana na Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Kodi ya Mapato ya mwaka 2004, pamoja na kifungu cha 39 na 48 ya Sheria ya Usimamizi wa Kodi ya mwaka 2015, kila kampuni iliyosajiliwa, biashara ya...
1 Reactions
0 Replies
264 Views
Nahitaji screen ya HP elitebook 840 G5 ... Kwa yeyote anayeweza kuipata na ana nia ya kuiuza tuwasiliane kupitia PM. 🙏
2 Reactions
5 Replies
442 Views
Back
Top Bottom