Pyredbello
Member
- Feb 25, 2018
- 54
- 35
Simu imetumika miez 4 bei laki moja 100,000/= Tsh maelewano pia
Nicheck whatsaap 0627837194
Nicheck whatsaap 0627837194
Nakuekea mkuupicha hakuna, try to be serious
weka ndugu, je haina tatizo lolote?Nakuekea mkuu
Picha hizo apo mkuuweka picha, alafu useme unarisiti uliyonunulia ama huna?. Maana siku hizi mtu anaweza akaiba simu kigoma alafu akaenda kuuza songea. Mwenye mali akiamua kuitafuta kwa google a/c anakukuta nayo nawewe unakuwa huna vielelezo kama kweli simu ni yako kihalali. Useme hapa jukwaani alafu uweke na picha mbele na nyuma eleza na sifa zingine zilizopo humo
[emoji41] haifai kbisaNakupa elfu 50 na nokia X2 ya batan ina whatsapp,fb nk....
Nipo dsm...0759890889
mkuu mm ningekuandalia elfu 85, ila chamuhimu hapo ni risiti tu. maana hapa ndpo penye mushikeli nisije nikawa natumia mzigo ambao unachunguzwa na jeshi la police