Naomba kufahamishwa ni maeneo gani naweza kwenda kukuta aina mbalimbali za camera aina canon hapa jijini Dar? Mwenye kujua maduka yanayouza hizo camera anijulishe tafadhari
habari wana jamii forum.
nahitaji vifaranga 500 wa mayai (layers), mwenye ujuzi wa wapi nitapata vifaranga wazuri na bei ya kifaranga ni sh. ngapi naomba anisaidie majibu.
nipo Dar es salaam...
habari wanajf nauza origino copy ya kitabu cha uchawi,black magic chenye elimu mbalimbali juu ya uchawi,matambiko,mazindiko na mahirizi,na nyota kimeandikwa na imam alghazliyyi....kwa aliye...
Tunachora ramani za nyumba aina zote.
Tunatoa ushauri wa ujenzi nk.
Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako.
karibu sana.
0654919121
0658919121
Mm ni kijana mjasilia mali nataka boat ya kununua boat ndogo ya mbao,kwajili ya shughul za kitalii nataka boat tupu,ofa yangu ni milion2.
Kwa mawasiliano nitafute kwa whatsapp +255656721501
Habari ndugu zangu kama mnavyojua ktk ulimwengu wa crytpocurrency kadri siku zinavyokwenda unazidi kukua na kupanuka ktk nyanja mbalimbali na kampuni nyingi zimekuwa kila zinapotoa coin zao hutoa...
Habarini, nnaomba mwenye namba ya simu ya dalali wa nyumba/vyumba maeneo ya kimara mwisho tusaidiane pia kama kuna maelekezo ya ziada mwenzenu nataka hamia ukooo. Natanguliza shukrani
Habari za jioni wandugu..kwa anae hitaji nyumba mpya na ya kisasa ya kupanga Dodoma anitafute .nyumba ipo ndani fence ina maji na umeme pia ni mpya ina vyumba viwili master...
Wadau, habari zenu?
Naomba msaada wenu.
Ni wapi naweza kupata maeneo ya kukodi mashamba ya mpunga wanapolima kwa umwagiliaji?
Nataka nipate sehemu ili niwe nalima mara mbili kwa mwaka.
Au ni...
unlock your iphone online today!
i unlock all models.. iphone 4,4s,5,5s,5c,SE,6,6s,6+,6s+,7,7+ & X
this service takes 3-4 days
call or sms me +255769345032/+255654250816 if you need this service...
Kwa mahitaji ya graphic design (Businesscards, brochure, posters, calenders, posts Za socialmedia, label Za bidhaa (stika Zisizo pauka)... Office branding car branding na banners Za Aina zone)...
Lipo mkoani Iringa wilaya ya kilolo kijiji cha mkalanga ni zuri sana kwa matumizi ya kilimo cha maharage,lakini pia zuri sana kwa kupanda miti ya mbao na kizuri zaidi waweza panda hata miti ya...