Iyo gari ulipata AseeInahitajika gari ndogo kati ya aina hizi;
Toyota duet,daihatsu terios kid daihatsu,Vitz au gari kama hiyo,namba B
Kama Ipo njoo PM nikupe mteja,Gari iwe Dar es Salaam
Karibu Sana
hivi kuna gari za M2 au unatafuta mkwecheInahitajika gari ndogo kati ya aina hizi;
Toyota duet,daihatsu terios kid daihatsu,Vitz au gari kama hiyo,namba B
Kama Ipo njoo PM nikupe mteja,Gari iwe Dar es Salaam
Karibu Sana
we muunganishe tu, hivyo ndo walivyo wabongoKuna mjamaa yangu ana Suzuki yake anaiuza kwa bei kama hiyo ila Mbongo si mwaminifu, unakuta mjamaa anatoa Ml.3 au mbili na kitu ila mtu anabania pesa inayobaki licha ya ukaribu alionao na huyo mtu.
Ungekuwa unaihitaji wewe mwenyewe ningekuunganisha naye free incharge.
Kila la heri mkuu naona umeamua kujiongezea stress.Inahitajika gari ndogo kati ya aina hizi;
Toyota duet,daihatsu terios kid daihatsu,Vitz au gari kama hiyo,namba B
Kama Ipo njoo PM nikupe mteja,Gari iwe Dar es Salaam
Karibu Sana
Weka pichaIpo mazda demio ya 2002 milioni mbili na nusu 2,500,000
Call 0753063142, 0687418839, 0653316087
Whatsapp 0687418839